IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,468
- 7,392
Being careful about behaving in a polite or proper way
O.k_what if not....si unajua mambo ya pombe tena.
Being careful about behaving in a polite or proper way
WAN JF naomba ushauri mke wangu ni mama wa nyumbani ,lakini cha ajabu nikirudi kazini nikimwambia natoka kidogo yeye anadhani naenda kwa wanawake nimejaribu kumweleza mke wangu nanyosha miguu ataki ,siku nyingine kama nataka nipate moja baridi nalszimika kupia moja baridi ndo niende home zaidi ya hapo nikifika home kutoka ni shida ,NAOMBA USHAURI
huyu ndo mwanaume sasa...mwanaume majukumu kutunza mke na familia nzima.sio nyie masharobaro ooh nataka mke mwenye kazi bot...ndo maana mnalazwa njeHa ha ha ha,dah hakyanani asante kwa kuniongezea siku.
Sasa una nyooshaje miguu peke yako bana?
We sema tu ume mchoka na huwezi kutoka nae,otherwise
mchana wote yuko mwenyewe na ana kumiss we kaa nae tu.
Lakini:...Katika dunia hii unaoa mke wa kukaa nyumbani tu?
UME JAALIWA YAKHEE
huyu ndo mwanaume sasa...mwanaume majukumu kutunza mke na familia nzima.sio nyie masharobaro ooh nataka mke mwenye kazi bot...ndo maana mnalazwa nje
are you smile? maana hii avatar kama ilikuwa kwa smile vile...ha ha haa...anyway umenifurahisha sana eti jicho lipo getini...huwa unarudi saa ngapi? maana kuna mida ya utata
sasa anataka uwai uende kukuna nazi na kuonja supu kama ina chumvi jamani?
ushauri mtafutie shunguli za kufanya maana inaonekana mind ipo idle sana so minyege inamjaa ikifika saa kumi tu jicho lipo getini kukusubiri umtulize hamu
mtafutie kazi uone kama atakusumbua
ndo hivo vijana wa siku hizi mapenzi 0 wizi mtupuAwapi,siwezi kuoa mke asiye na kazi mimi.
Labda kama hana kazi na yeye ni yatima wala
hana ndugu yeyote hapo sawa nita muoa.
Ila kama una ndugu,tena wana kutegemea,...fanya kazi aisee.
Uwe unaenda nae kunyoosha miguu pamoja
Awapi,siwezi kuoa mke asiye na kazi mimi.
Labda kama hana kazi na yeye ni yatima wala
hana ndugu yeyote hapo sawa nita muoa.
Ila kama una ndugu,tena wana kutegemea,...fanya kazi aisee.
Kila Mtu akija na Mkewe itakuaje ?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
ndo maana ndoa za siku hizi vimeo? wanaume wamekuwa tegemezi balaa.na wanawake hawapo tayari kufuga mtu.hujapenda wewe? unaweza kuoa asiye na kazi lakini baada ya muda ukamtafutia cha kufanya au ukamuendeleza ili na yeye ajishughulishe.
hujapenda wewe? unaweza kuoa asiye na kazi lakini baada ya muda ukamtafutia cha kufanya au ukamuendeleza ili na yeye ajishughulishe.
ndo hivo vijana wa siku hizi mapenzi 0 wizi mtupu
haya aliyoyaandika haionyeshi kuwa mke ana wivu, ni kwamba mke hamwamini......................wanasema siku zote mwenye kuonyesha wivu ndio mwenye mapenzi ya kweli.
ahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_kama vip anyooshee nyumbani hiyo miguu..lo!