Mke wangu ana wivu wa kuptiliza

Labda kwenye moja baridi moja moto kuna bar maid tishio mtaani..................
 
WAN JF naomba ushauri mke wangu ni mama wa nyumbani ,lakini cha ajabu nikirudi kazini nikimwambia natoka kidogo yeye anadhani naenda kwa wanawake nimejaribu kumweleza mke wangu nanyosha miguu ataki ,siku nyingine kama nataka nipate moja baridi nalszimika kupia moja baridi ndo niende home zaidi ya hapo nikifika home kutoka ni shida ,NAOMBA USHAURI

Ha ha ha ha,dah hakyanani asante kwa kuniongezea siku.

Sasa una nyooshaje miguu peke yako bana?
We sema tu ume mchoka na huwezi kutoka nae,otherwise
mchana wote yuko mwenyewe na ana kumiss we kaa nae tu.

Lakini:...Katika dunia hii unaoa mke wa kukaa nyumbani tu?
UME JAALIWA YAKHEE
 
Tatizo ni mwanzo wenu wa mapenzi ulikuwaje. Kama unatumia staili zile zile ulizomuibulia lazima astukie dili.
 
Ha ha ha ha,dah hakyanani asante kwa kuniongezea siku.

Sasa una nyooshaje miguu peke yako bana?
We sema tu ume mchoka na huwezi kutoka nae,otherwise
mchana wote yuko mwenyewe na ana kumiss we kaa nae tu.

Lakini:...Katika dunia hii unaoa mke wa kukaa nyumbani tu?
UME JAALIWA YAKHEE
huyu ndo mwanaume sasa...mwanaume majukumu kutunza mke na familia nzima.sio nyie masharobaro ooh nataka mke mwenye kazi bot...ndo maana mnalazwa nje
 
Kwa mtazamo wangu huyo mwanamke hana wivu wa kupitiliza; ni kwa kuwa tu anashinda nyumbani kutwa nzima hivyo huwa anakumiss na ikifika jioni ambayo anatamami muwe pamoja wewe una aga unataka kutoka tena? Hebu fanya kama ingekuwa wewe; ungemuelewa mkeo akuache nyumbani tangu asubuhi halafu arudi nyumbani jioni then akuage tena kuwa anataka kwenda out kupiza soga na shoga zake?
Suluhisho ninalo ona hapo;
1. Jitahidi kunyooshea miguu yako nyumbani
2. Toka naye kwenda kunyoosha miguu
3. Cha muhimu zaidi ni kumtafutia shuhuli ya kufanya
 
huyu ndo mwanaume sasa...mwanaume majukumu kutunza mke na familia nzima.sio nyie masharobaro ooh nataka mke mwenye kazi bot...ndo maana mnalazwa nje

Awapi,siwezi kuoa mke asiye na kazi mimi.
Labda kama hana kazi na yeye ni yatima wala
hana ndugu yeyote hapo sawa nita muoa.

Ila kama una ndugu,tena wana kutegemea,...fanya kazi aisee.
 
huwa unarudi saa ngapi? maana kuna mida ya utata
sasa anataka uwai uende kukuna nazi na kuonja supu kama ina chumvi jamani?
ushauri mtafutie shunguli za kufanya maana inaonekana mind ipo idle sana so minyege inamjaa ikifika saa kumi tu jicho lipo getini kukusubiri umtulize hamu
mtafutie kazi uone kama atakusumbua
are you smile? maana hii avatar kama ilikuwa kwa smile vile...ha ha haa...anyway umenifurahisha sana eti jicho lipo getini...
simple nenda naye mkatembee...akiona unapoenda ni kwa washkaj tu atakuwa na iman nawe!!
 
Awapi,siwezi kuoa mke asiye na kazi mimi.
Labda kama hana kazi na yeye ni yatima wala
hana ndugu yeyote hapo sawa nita muoa.

Ila kama una ndugu,tena wana kutegemea,...fanya kazi aisee.
ndo hivo vijana wa siku hizi mapenzi 0 wizi mtupu
 
Mtafutie shughuli ya kufanyan awe busy kidogo, halafu nakupenda ndo maana ankuonea wivu halafu kwa nini unatoka peke yako/ unatakiwa ukikaribia kurudi unapiga simu mke wangu jiandae nakuja tutoke lakini hii ya kuingia na kutoka Big noooo
 
Awapi,siwezi kuoa mke asiye na kazi mimi.
Labda kama hana kazi na yeye ni yatima wala
hana ndugu yeyote hapo sawa nita muoa.

Ila kama una ndugu,tena wana kutegemea,...fanya kazi aisee.

hujapenda wewe? unaweza kuoa asiye na kazi lakini baada ya muda ukamtafutia cha kufanya au ukamuendeleza ili na yeye ajishughulishe.
 
hujapenda wewe? unaweza kuoa asiye na kazi lakini baada ya muda ukamtafutia cha kufanya au ukamuendeleza ili na yeye ajishughulishe.
ndo maana ndoa za siku hizi vimeo? wanaume wamekuwa tegemezi balaa.na wanawake hawapo tayari kufuga mtu.
mwanaume mapenzi sifuri,majukumu sifuri ..utakaa nae ufanye nini? umle au
 
hujapenda wewe? unaweza kuoa asiye na kazi lakini baada ya muda ukamtafutia cha kufanya au ukamuendeleza ili na yeye ajishughulishe.

Si hadi awe na akili hiyo sasa ya kutaka kujiendeleza.
We unaoa mtu,wewe ndo wa kwanza kuamka kila siku,mkeo ana amka saa2 asubuhi
kuna wa kujiendeleza hapo?
 
wanasema siku zote mwenye kuonyesha wivu ndio mwenye mapenzi ya kweli.
haya aliyoyaandika haionyeshi kuwa mke ana wivu, ni kwamba mke hamwamini......................
mambo mengine lakini tunajitakia, mume anaogopa kurudi home abadili nguo za ofisini kisha akapate moja baridi! sasa si unaona anaamua kupitia kaunta akitoka kazini......................
jamani kuwa kwenye ndoa haimaanishi mtu kupoteza uhuru. namna hii mnawatisha ambao hawajaingia huku, bado tunahitaji member wengi tu kwenye hiki chama
 
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli.

Mtafutie shughuli na yeye asikae home tu, ili na yeye anyooshe miguu sometimes ili umuonee wivu umuulize km anavyokuuliza.
 
Back
Top Bottom