Uwe unaenda nae kunyoosha miguu pamoja
Mshirikishe kwenye mambo yako.
Ukitaka kwenda kunyoosha miguu nenda naye. Ukitaka kwenda kupata moja baridi muulize kama naye anataka muende wote.
Hata kama hataki, tendo la wewe kumuuliza/ kumwomba muende wote linajenga imani na kuimarisha imani yake kwako.
Ni hivyo tu.
Kama ana wivu...hapo atakuwa anapalilia ugonvi kuliko kuponya,...kwenda na mwanamke wako kupata moja baridi ni hatari zaidi....ni mtazamo tu.
kuna gubu na wivu kakawanasema siku zote mwenye kuonyesha wivu ndio mwenye mapenzi ya kweli.
Mkuu kama hutojali naomba unipe maana(tofauti kati) ya gumu na wivu.kuna gubu na wivu kaka
wanasema siku zote mwenye kuonyesha wivu ndio mwenye mapenzi ya kweli.
amechoka kushinda nyumbani anataka naye kunyoosha miguu anasubiri kukaribishwa
If you watch your p's and q's then there is nothing to worry about.
Ndio nini tena.....hebu dadavua.
Si vibaya kwa mkeo kuwa na wivu kwako.
Kikubwa kinachomfanya yeye kuwa hivyo ni kule kuaga kwako mara kwa mara baada ya kutoka kazini..ni vyema ukamuondoa wasiwasi au huo wivu wake kwa kutoka naye mida hiyo ambayo si ya kazi,maana pengine huwa anakumiss ukiwa kazini hivyo anatamani akuone home ukishatoka kazini..Punguza misele mkuu.