Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

Mke wangu ana tatizo kubwa msaada please

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,904
Ndugu wanajamvi.

Ndoa yangu imekuwa na mtikisiko kidogo ambao kwa kiasi fulani unanipa shida hivyo nakuona kama vile mke wangu hanifai kwa sasa.

Anaonekana ana tatizo la kisaikolojia na hivyo kugeuza jambo lolote analoambiwa kuwa negative yaani kila jambo analiona kwa mtazamo hasi.

Mfano anaweza kuwa amekosea then nikamwambia mke wangu hapa umekosea basi yatatoka maneno kumi, yaani mimi namnyanyasa, na mengine mengi.

Mwanzoni nilikuwa nachukia mpaka nampiga lakini nilivyoona bado hajirekebishi nakaanza kutafuta nini chanzo hasa,
nikajaribu kuchunguza pengine ameanza kuchepuka hakuonekana hivyo.

Pengine marafiki zake wanamjaza ujinga nikagundua hapana. Nikajaribu kufuatilia historia yake vizuri jinsi alivyo zaliwa na jinsi alivyolelewa.

Nilichokigundua wazazi wake yaani mama baba walifariki akiwa mdogo sana na hivyo kuishi na shangazi yake, lakini shangazi yake akawa anatreat vibaya hata na ndugu wengine wakawa kama vile hawamthamini

Aliamua kutoka kwa shangazi yake kwa kukimbia na kwenda kuishi kwa mama yake mdogo.
Lakini nako kukawa hivyo hivyo.

Sasa amekuwa hivyo kwenye akili akajijengea kwamba yeye hakuna wa kumthamini, hata ni kimkosea anatoa maneno ya kukata tamaa hivyo lakini namuomba msamaha then anakuwa sawa.

Naombeni ushauri nini nifanye maana kumpeleka kwa wanasaikolojia nahisi ataona kama nimetoa mambo yake nje. Anasumbuliwa na kitu asichokijua yeye.
 
mimi ningekuwa ni wewe ningemwiignore .. mpaka yeye aamue kutoa kilichopo moyoni bila yeye kuwa tayar ni ngumu kumsaidia kimtazamo wangu mimi lakini sina hata reference hata moja
 
Mpe hela . Ww mpe hela tu .mpe hela Nyingi sn
Hela sio tiba kwenye hili tatizo
Ana hitaji kukaa nae na kuongea nae muulize kwanini ana kuwa hivyo hizo taarifa ulizozipata toka nje azitoe mwenyewe usiishi kwa kudhani au kufikiri yeye binafsi ndiye anajua tatizo ni nini?
Vunja ukimya ili ufurahie ndoa yako
 
Hata yeye mwenye huwa anamtaja taja shangazi kuwa ni mtu katili kwake
 
Hata yeye mwenye huwa anamtaja taja shangazi kuwa ni mtu katili kwake

Lakini hiyo ni past kwakwe akubali kumove on na hiyo past haipaswi kuvuruga maisha yake ya sasa kubali kuongea nae mwambie asamehe kila mtu anapitishwa kwenye majaribu mazito ili ajifunze na ni kwa makusudi
Kwanini roho ya kumshikilia na kutosamehe imharibie ndoa
Mwambie amove on asamehe ili kufungua milango ya baraka na furaha kwenye ndoa yake
 
Endelea kumuomba msamaha kila UNAPOHISI UMEMKWAZA!
 
Siku nyingine akianza maneno yake mpige na kitu kizito maana huyo anaonekana kuwa anataka kukupanda kichwani......
 
Yaani mpaka umemuoa na kuishi naye ulikuwa hujui historia yake? Hata kuwa wazazi wake walifariki wakati gani, hapo pana shida na hiyo ndoa itakusumbua sana
 
Hata yeye mwenye huwa anamtaja taja shangazi kuwa ni mtu katili kwake

Anavyo mshikilia huyo aunt na ndugu zake wengine anampa ibilisi nafasi ya kudeal na ndoa yake ndio maana anajiona ana roho ya kukataliwa na kudharaulika
Hii kama imekaa kiimani kidogo lakini kaka unahitaji kukaa nae zidisha mapenzi kwake ajione kama wewe unamwona ni mtu mwenye thamani kwako
 
Ndugu wanabodi,
Ndoa yangu imekuwa na mtikisiko kidogo ambao kwa kiasi fulani unanipa shida hivyo nakuona kama vile mke wangu hanifai kwa sasa. Anaonekana ana tatizo la kisaikolojia na hivyo kugeuza jambo lolote analoambiwa kuwa negative yaani kila jambo analiona kwa mtazamo hasi.
Mfano anaweza kuwa amekosea then nikamwambia mke wangu hapa umekosea basi yatatoka maneno kumi, yaani mimi namnyanyasa, na mengine mengi. Mwanzoni nilikuwa nachukia mpaka nampiga lakini nilivyoona bado hajirekebishi nakaanza kutafuta nini chanzo hasa.
Nikajaribu kuchunguza pengine ameanza kuchepuka hakuonekana hivyo, pengine marafiki zake wanamjaza ujinga nikagundua hapana. Nikajaribu kufuatilia historia yake vizuri jinsi alivyo zaliwa na jinsi alivyolelewa.

Nilichokigundua wazazi wake yaani mama baba walifariki akiwa mdogo sana na hivyo kuishi na shangazi yake, lakini shangazi yake akawa anatreat vibaya hata na ndugu wengine wakawa kama vile hawamthamini, aliamua kutoka kwa shangazi yake kwa kukimbia na kwenda kuishi kwa mama yake mdogo lakini nako kukawa hivyo hivyo. Sasa amekuwa hivyo kwenye akili akajijengea kwamba yeye hakuna wa kumthamini, hata ni kimkosea anatoa maneno ya kukata tamaa hivyo lakini namuomba msamaha then anakuwa sawa.

Naombeni ushauri nini nifanye maana kumpeleka kwa wanasaikolojia nahisi ataona kama nimetoa mambo yake nje. Anasumbuliwa na kitu asichokijua yeye

Mkuu case yako haina tofauti sana na yangu.

Mimi mke wangu alipitia maisha ya ovyo sana. Wazazi wote walifariki. Alilelewa kwa ndugu ambapo alikuwa mistreated vibaya mno. Yeye ndiye wa kutumikishwa. Shule yeye ndiye wa kusoma shule mbaya wenzake international.

Sababu mke wangu nilikuwa nafahamiana nae tangu zamani sana, nilimpenda na niliomba Mungu anipe uwezo na namna ya kumpa furaha siku zote.

Mara kadhaa mke wangu anakumbuka maisha ya nyuma na kuwa kama mkeo lakini nakuwa upande wake.

Niko upande wake muda wote. Ndugu zake waliomnyanyasa wanajaribu tena kuingilia ndoa na kumsema(labda hajawapigia simu muda) na maneno mengi mabaya mabaya.

Nakumbuka siku moja walinikera kiasi nilienda kuanzisha moto na wamefyata wakiwa na heshima kuwa yeye ni binadamu na anastahili furaha zote.

Tatizo hili la furaha kwa mke wangu lilimuadhiri mpaka kwenye performance yake ila namshukuru Mungu aliweza kubadilika sababu ya upendo.

Mpende mkeo zaidi na zaidi. Kuwa nae,,,, yeye ni upande wako. Yeyote aliyetokea kumnyanyasa usimuweke karibu kabisa.

Moyo wangu unasema unampenda sana mkeo
 
Ongeza mapenzi na maneno matam ya kujali,kaa nae ongea nae,mpe hata story za uongo kuhusu watu kama yeye asijione peke yake ndo kapitia hayo,pamoja na kumpa baadhi ya vitabu ajisomee(selfhelp books)i hope atabadilika but it will take time
 
Kama Unamwomba Samahan Anatulia Bas We Una Tatzo,
1. Inawezekana Care Yako Ktk Mapenz Unamtreat Kama Mwanaume Mwenzako.

2, Kama N Mama Wa Nyumban Huenda Akihtaj Msaada Wa Pesa Haumsaidii, Unaishia Kuorodhesha Vitu Ulivyonunua, Mf, Chakula, Dawa, Ama Ulimtoa Out, Ped Kama Unamnunuliaga, Hautatui Tatzo Lake, UNAISHIA MANENO

3. Ni Mwaminhfu, Hachepuk, Kama Angechepuka Asingekujal Na Kukuhangaikia,

4, Haumshirikish Kwa Mipango Yako, Mf, Kununua Kiwanja, Kuchukua Mkopo, Mahar Unapokwenda Anastukia Umefanya Mwenyewe, Atahs Unamdharau Na Kutomthamin, Ama Atahs Una Mchepuko, NA NAHS UKO HVYO.
 
Yaani mpaka umemuoa na kuishi naye ulikuwa hujui historia yake? Hata kuwa wazazi wake walifariki wakati gani, hapo pana shida na hiyo ndoa itakusumbua sana

Historia yake niliijua vzuri lakini sio mambo ya ndani ya familia maana mengine kuyajua haraka ni vigumu sana
 
Mkuu case yako haina tofauti sana na yangu.

Mimi mke wangu alipitia maisha ya ovyo sana. Wazazi wote walifariki. Alilelewa kwa ndugu ambapo alikuwa mistreated vibaya mno. Yeye ndiye wa kutumikishwa. Shule yeye ndiye wa kusoma shule mbaya wenzake international.

Sababu mke wangu nilikuwa nafahamiana nae tangu zamani sana, nilimpenda na niliomba Mungu anipe uwezo na namna ya kumpa furaha siku zote.

Mara kadhaa mke wangu anakumbuka maisha ya nyuma na kuwa kama mkeo lakini nakuwa upande wake.

Niko upande wake muda wote. Ndugu zake waliomnyanyasa wanajaribu tena kuingilia ndoa na kumsema(labda hajawapigia simu muda) na maneno mengi mabaya mabaya.

Nakumbuka siku moja walinikera kiasi nilienda kuanzisha moto na wamefyata wakiwa na heshima kuwa yeye ni binadamu na anastahili furaha zote.

Tatizo hili la furaha kwa mke wangu lilimuadhiri mpaka kwenye performance yake ila namshukuru Mungu aliweza kubadilika sababu ya upendo.

Mpende mkeo zaidi na zaidi. Kuwa nae,,,, yeye ni upande wako. Yeyote aliyetokea kumnyanyasa usimuweke karibu kabisa.

Moyo wangu unasema unampenda sana mkeo

Thanks sana mkuu naamini na wakwangu atabadilika
 
Kama Unamwomba Samahan Anatulia Bas We Una Tatzo,
1. Inawezekana Care Yako Ktk Mapenz Unamtreat Kama Mwanaume Mwenzako.

2, Kama N Mama Wa Nyumban Huenda Akihtaj Msaada Wa Pesa Haumsaidii, Unaishia Kuorodhesha Vitu Ulivyonunua, Mf, Chakula, Dawa, Ama Ulimtoa Out, Ped Kama Unamnunuliaga, Hautatui Tatzo Lake, UNAISHIA MANENO

3. Ni Mwaminhfu, Hachepuk, Kama Angechepuka Asingekujal Na Kukuhangaikia,

4, Haumshirikish Kwa Mipango Yako, Mf, Kununua Kiwanja, Kuchukua Mkopo, Mahar Unapokwenda Anastukia Umefanya Mwenyewe, Atahs Unamdharau Na Kutomthamin, Ama Atahs Una Mchepuko, NA NAHS UKO HVYO.

Hapana mkuu mambo mengi najitahidi sana kumshirikisha na akitaka pesa au mahitaji mengine nampa, tatizo linapokuja ni pale nikimkosoa au nikimkemea jambo fulani basi hata kosa nililomtendea mwaka jana atalikumbusha
 
pole bestito jamani aiseee

Nikushauri kitu best wangu kaa naye mkeo ongea naye kwa upendo mmuulize ni sababu zipi anakuwa mtu wa aina hiyo
uenda kuna kitu nafsini mwake kama ukiwa naye kwa kupendo na kumhoji kimapendo atakwambia tu. mwambie kuwa hayo mambo ya nyuma aliyotendewa asiyakumbuke ingawaje ni vigumu kusahau mtu unavyotendwa ila awe mwenye moyo wa kusamehe na kumove on na ikiwezekana aende kwa shangazi yake na kumwambia kuwa kwa yale aliyomfanyia amemsamehe hapo mlango wake utafunguka na atakuwa mwepesi moyoni mwake

Kingine ni vyema ukawatafuta wanasaikolojia wamshauri nini chanzo chake.

Kingine zidi kumwomba Mungu na mkabidihi kwa Mungu kwani hakuna kinachoshindikana kwa Mungu yeye anaweza atabadilika tu. muweke kwenye maombi atabadilika

cc: muuza ubuyu
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu mambo mengi najitahidi sana kumshirikisha na akitaka pesa au mahitaji mengine nampa, tatizo linapokuja ni pale nikimkosoa au nikimkemea jambo fulani basi hata kosa nililomtendea mwaka jana atalikumbusha

POA, Fanya Hv, Muache Usimkosoe Kama Miez 2 Hv. Hata Akikosea Mbele Za Watu Uchune, Kua Mpole, Muoneshe Mapenz, Na U2nze Kumbukumbu Ya Makosa Yake, Toa Cku Moja Akikosea, Mwite Chumban Muhoj, Mweleze Mwanzo Wa Makosa Yake, Then Mtandike Mpaka Alainike, Baada Ya Kichapo, Mwambie Sitak Hik Na Hik Kuanzia Leo Ama Ntakurudisha Home, Majeraha Yake Usimpe Pole Wala Kumpleka Hosp, Hatagundua Kama Umechukia, Mchunie Hata Cku 2,onesha Kutomjar, Huku Ukirud Mapema Home Na Mahtaj Kama Kawaida, Ila Usimguse, Atakuomba Samahan Mwenyewe Na HATARUDIA TENA, Sote Tulikua Hvo
 
Back
Top Bottom