chambimagaka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 288
- 338
Habari wadau! Huu Mwaka nimeukaribisha kwa namna ya kipekee nahisi ni mkosi vile! Mke wangu nilieishi nae kwa zaidi ya miaka nane hana uwezo wa kupata mtoto! Yaani ni mgumba! Juzi binafsi nimechoka maneno ya wazee wangu Na marafiki kuniambia kuwa kwanini sitaki kuzaa mtoto! Sasa mikaamua nitafute binti yyte ambaye ninaweza kuzaa nae Na nikamuhudumia huku nikiendelea Na familia yangu pasipo kuharibu kitu!! Kwa Bahati mbaya nimeenda Na huyu binti kwenye uwanja wa 6*6 ndio wazo la kupima likanijia!
Mbaya zaidi nilipoenda kupima nimemkuta huyu binti ni mwathirika wa HIV Na hapo awali nilikuwa nachati nae, Na nikaamua kumwacha nilipogundua ana HIV! Nilienda Angaza mapema nikapimwa nikakutwa nipo negative Na nikapewa CIPLO kwa mwezi mzima! Mk wangu kashaziona Na kuzitilia shaka! Na Leo kafanikiwa kuziona chatting zetu ingawaje n za muda kidgo nilizokuwa nakwambia kuwa yule binti nipo tyr kuzaa nae!
Jamani mambo yameharibika, naombeni ushauri wenu wakurungezi ili niweze kuokoa ndoa yangu kwani Nampenda sana mk wangu