Mke wangu amenizidi mshahara

kwanza umeandika kishari shari, kiugomvi ugomvi, dizaini kama unamkoa hivi.... hizi ndoa jamani, ehhh mungu zisimamie. kama mimi ndio mkeo, huo utumbo siwezi kuukubali hata iweje, akikubali mkeo, atakua kiazi kama wewe.... akope pesa, yeye, mlipaji yeye, ili wewe ufaidike maana unataka kumzidi kipato kwa mgongo wa huyo huyo mkeo... kweli stupid...
 
Hahahahahaha, dah mkuu umenifanya nicheke sana. Kwa hiyo wewe tatizo lako ni kwamba anakuzidi mshahara na sio kama analeta madhara mengine?
 
kwa bahati mbaya umeshazeeka bila kuwahi kukutana na mwanaume ambaye umempenda sana na ndiomaana unaona kama haiwezekani. Umri wako ushapita, waachie vijana.
 
Hahahaha nmecheka sana, ila inaonekana mkuu una Elimu nzuri ila ulipo hapakustahili, hongera kwa kujiongeza....hapa hujatumia mfumo dume wala nini ila umeona mbali kuwa mkeo kukuzidi kipato ipo siku ataota mapembe....ndo ujanja wa Capitalism huo unachofanya, safi sana, keep up[emoji23][emoji23]
 
Hahahaha wakati unamuoa hukujua kuwa ana mshahara mkubwa kuliko wewe?
 
Nimeishia kutabasamu kwa namna unavyopiga mahesabu ya kumpiga bao mkeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…