Mke wangu amelia baada ya kuisoma speech ya mwisho ya Gaddafi

Mke wangu amelia baada ya kuisoma speech ya mwisho ya Gaddafi

Time is now telling the world the truth. There is no more peace no luxury in Libya. They have been tricked to kill their leader, they are now on each other throat.
 
Wew ndo mwenye mapepo na usiejua kutenganisha ukweli na unafiki..
Kuna watu wana macho lakn hawaoni kuna watu wana masikio lakni hawasikiibhina tofauti na mtu alijinasibisha na mwenye kuvaa kumbe angali uchi tena uchi wa mnyama..
Allahu Akbaaar..
Allah amrehemu sheikh Gaddaf
 
Haya Gaddaffi ni mbaya endeleeni kumkumbatia Obama na marekeni yake hawa wazuri sana na wana mipango mizuri kabisa ya kuikomboa africa. Tutaishi maisha raha sana kwa hisani ya watu wa marekani

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Gaddafi's Last Speech!!!
In the name of Allah, the ...beneficent, the merciful...


For 40 years, or was it longer, I can't remember, I did all I could to give people houses, hospitals, schools, and when they were hungry, I gave them food. I even made Benghazi into farmland from the desert, I stood up to attacks from that cowboy Ronald Reagan, when he killed my adopted orphaned daughter, he was trying to kill me, instead he killed that poor innocent child. Then I helped my brothers and sisters from Africa with money for the African Union.


I did all I could to help people Understand the concept of real democracy, where people's committees ran our country. But that was never enough, as some told me, even people who had 10 room homes, new suits and furniture, were never satisfied, as selfish as they were they wanted more. They told Americans and other visitors, that they needed "democracy" and "freedom" never realizing it was a cut throat system, where the biggest dog eats the rest, but they were enchanted with those words, never realizing that in America, there was no free medicine, no free hospitals, no free housing, no free education and no free food, except when people had to beg or go to long lines to get soup.


No, no matter what I did, it was never enough for some, but for others, they knew I was the son of Gamal Abdel Nasser, the only true Arab and Muslim leader we've had since Salah-al-Deen, when he claimed the Suez Canal for his people, as I claimed Libya, for my people, it was his footsteps I tried to follow, to keep my people free from colonial domination - from thieves who would steal from us.


Now, I am under attack by the biggest force in military history, my little African son, Obama wants to kill me, to take away the freedom of our country, to take away our free housing, our free medicine, our free education, our free food, and replace it with American style thievery, called "capitalism" ,but all of us in the Third World know what that means, it means corporations run the countries, run the world, and the people suffer.


So, there is no alternative for me, I must make my stand, and if Allah wishes, I shall die by following His path, the path that has made our country rich with farmland, with food and health, and even allowed us to help our African and Arab brothers and sisters.


I do not wish to die, but if it comes to that, to save this land, my people, all the thousands who are all my children, then so be it.
Let this testament be my voice to the world, that I stood up to crusader attacks of NATO, stood up to cruelty, stoop up to betrayal, stood up to the West and its colonialist ambitions, and that I stood with my African brothers, my true Arab and Muslim brothers, as a beacon of light.


When others were building castles, I lived in a modest house, and in a tent. I never forgot my youth in Sirte, I did not spend our national treasury foolishly, and like Salah-al-Deen, our great Muslim leader, who rescued Jerusalem for Islam, I took little for myself...
In the West, some have called me "mad", "crazy", but they know the truth yet continue to lie, they know that our land is independent and free, not in the colonial grip, that my vision, my path, is, and has been clear and for my people and that I will fight to my last breath to keep us free, may Allah almighty help us to remain faithful and free.
-Mu'ummar Qaddafi.
May Allah 4give and grant you with Jannatul firdaus. Ameeen

He died as a witness, He is a Men...
 
Time is now telling the world the truth. There is no more peace no luxury in Libya. They have been tricked to kill their leader, they are now on each other throat.

Anayeua kwa upanga hufa kwa upanga. Karma got his A.s.s Huwezi panda mahindi ukavuna maboga..

Gadafi hakuwa na msingi mzuri from the very start. Ndio maana hakuwa willing kung'atuka. Alitaka mwanae amrithi. Na hii kwa mujibu wa imani ya UISLAMU ni ukafiri. Ni Allah tu, ndio anatakiwa kutawala wanadamu milele sio binadamu.

The same applies to museven wa uganda and may be Robert Mugabe.Raul Castro wa Cuba, North Korean, zenye utawala wakiimla. Nchi hizi si rahisi kutabiri mema huko mbeleni.

Tukigusia Waarabu utaona wenyewe hawako vizuri kujisimamia. Like Somali people. Na hii inatokana na mfumo wao wa double standard waliyonayo katika kufikiri na kutenda.In most cases utakuja gundua, Waarabu wenyewe wanastawi ikiwa tu wanatawaliwa na the most powerful dictactor. Kwani mambk mengi yanafanyika kwa ukatili na ubabe.

Hii western kind of democracy haiwa suit wao kwa jinsi vile wanataka. Ndio maana wazungu wameshindwa kuwasimamia. Kwakuwa wazungu wamekuwa wakiwa-overlook wakidhani pengine waarabu wakijua human right democracy wataipenda na Ku adopt. Lakini ile sio sehemu ya kile wanaamini, inakuwa vigumu ku-apply.

Normaly waarabu hawana pia furaha hata katika nchi wanazotawaliwa, kama Saudi, Qatar, iran, Egypt, turkey, Pakistan, Afghanistan. Laiti wakipata nafasi watapindua serikali zao. Kwani wanaziona ni dhalimu. Na ndio maana Iraq imekuwa ni vurugu mechi kwani hata wakati wa sadam hakuingia kidemocrasia Bali kimapinduzi na pia aliwanyanyasa waislamu wa shiha na wakurdi. Kama vile turkey imekuwa ikiwanyanyasa wakurdi walioko nchini kwake.
Pia mambo kama Human rights kwao wanayachukulia kwa mtazamo hasi. Na kama tools inayotumika kupambana na mfumo wao wanaoona kuwa unatakiwa ufuatwe fanatically na ruthlessly. All in all kuna kitu western wamejifunza kuhusu Arabs ndio maana hata hapa Iraq wamekuwa wavivu kuingiza Infantry kupambana na ISIS. will die for nothing. Nuff said
 
Siju umoja wa AU unajisikiaje kwa jinsi walivyomsaliti kwa kutaka kufurahisha mataifa ya magharibi?
Na kwa hayo mataifa ya magharibi baada ya kupata watakacho libya wameacha wanauana kama kuku wao wanakimbilia kuwasaka ISIS
 
malipula makarura
Wandungu msiyojua kitu nyie...VITA vya kagera tulisaidiwa na ISRAEL,UK,USA mwanzo hadi mwisho walitufadhili kila kitu.... Kwakuwa walikuwa na hesabu nae, kisasi na Mrhm.IDDI AMIN !! sababu aliwadhalilisha na kuwanyanyasa... hivyo walitumia nguvu zote (miltary,Logistics,Hardware,Intellejensia,nk,nk) !!

very sad na vijana wa jeshi la ZANZIBAR NAVY kuwa chambo cha vita , kupitia mgongo wa mashujaa wa TZ !!
FGYI, hamujui lolote... mie simtetei Col.M.Gadaffi wala sitetei upande wowote !! Haki isemwe...na kama huamini soma kitabu kinaitwa "FOLLOW HIM" !!!!
Acheni kupotosha...... kuongeza zaidi Misaada ilimiminika TZ baada ya kupatana na LIBYA !!


Oops wait... Nimewahi kusoma sehemu baada ya vita Mwalimu Nyerere aliwatangazia watu kuhusu hali mbaya ya kiuchumi iliyotupata kutokana na vita na kuwaambia wazi wananchi "wafunge mikanda". Swali, kama hawa jamaa walitufadhili kwa "kila kitu" tungepata hiyo changamoto ya kiuchumi wakati ule na ambayo kuna watu huamini haijawahi kutatuliwa hadi leo kwa maneno mengine wanachi hawajapewa tamko la "kufungua mikanda"? Nisaidie tafadhali mkuu wangu Zamiluni Zamiluni
 
Oops wait... Nimewahi kusoma sehemu baada ya vita Mwalimu Nyerere aliwatangazia watu kuhusu hali mbaya ya kiuchumi iliyotupata kutokana na vita na kuwaambia wazi wananchi "wafunge mikanda". Swali, kama hawa jamaa walitufadhili kwa "kila kitu" tungepata hiyo changamoto ya kiuchumi wakati ule na ambayo kuna watu huamini haijawahi kutatuliwa hadi leo kwa maneno mengine wanachi hawajapewa tamko la "kufungua mikanda"? Nisaidie tafadhali mkuu wangu Zamiluni Zamiluni
Mkuu, iwe ndiyo akida yako kbs!! " HAKUNA kitu cha bure hapa DUNIANI" Kila kitu kw thamani yake...NO FREE LUNCH !! ( wakati ule nani aliweza kuuliza kitu? ) Tafakari na upotezee.....
 
Time is now telling the world the truth. There is no more peace no luxury in Libya. They have been tricked to kill their leader, they are now on each other throat.

Sure, there is no peace in Libya watamkumbuka sana Gadafi
 
Duh yaani speech tu ndio ilimliza? Nimeisoma, sidhani labda kitu kingine hidden
 
R.I.P Colonel utakumbukwa daima kwa sisi tunaopinga falsafa za Kimagharibi.
 
Back
Top Bottom