Mke wangu amelia baada ya kuisoma speech ya mwisho ya Gaddafi

Ukiweka udini pembeni aliokuwa nao Gaddafi anaonekana alikuwa kiongozi mzuri.binafsi roho inaniuma kwa kifo cha kinyama alichokufa

Una bahati hakukuchukulia demu wako muulize Salmin Amour!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Huyo Gadafi ndio alioua ndugu zetu katika vita vya Kagera akishirikiana na nduli Idd Amin.Kumuhurumia Gadafi ni sawa na kumuhurumia Idd Amin.Unaweza kufanya hivyo kama unatumia kioo na miwani ya udini,huwezi kufanya hivyo katika kioo cha kuipenda nchi yako
 
Mungu wa haki ndio mwenye mamlaka ya kuwahukumu viumbe wake na yeye ndiye anayewajua Zaidi wanayoyaficha na wanayoyadhihirsha. Uliyoyataja si kipimo cha kutokukubalika kwa Gadafi kwa watu wote labda kwa baadhi ya watu. So tumuachie Mungu wa kweli ahukumu siku ya malipo.
Lakini kama kweli hii ni speech ya Gadaf yeye ameshajitangaza kuwa alikuwa mwema. , amesahau Haya; ubakaji, kuua watu kadri anavyotaka
 
Gadaffi ni mchafu sana na mikono yake imejaa damu za watu,hivyo alijitahidi sana kujisafisha kwa kuwajengea watu Misikiti lakini alikuwa anajidanganya kapata malipo yake hapa hapa duniani na bado kuna hukumu yake zaidi huko alikoenda maana alidhurumu maisha ya watu wengi sana.
Nasikia na dodoma kuna bonge la msikiti unaitwa msikiti wa gaddafi....
 
Huyo Gadafi ndio alioua ndugu zetu katika vita vya Kagera akishirikiana na nduli Idd Amin.Kumuhurumia Gadafi ni sawa na kumuhurumia Idd Amin.Unaweza kufanya hivyo kama unatumia kioo na miwani ya udini,huwezi kufanya hivyo katika kioo cha kuipenda nchi yako

Sawa sawa mkuu,watu wanadandiaga mambo kwa juu juu sana bila kufanya utafiti,miaka ya mwanzo ya utawala wa ghadafi alikua dictator mbaya sana mwenye udini! acha mauaji mbalimbali aliyofanya kwa waliokuwa wanakosoa utawala wake! na hlo la kumsaidia nduli mimi ndio linanichefuaga sana! hiyo speech ni ya kutubu tu madhambi yake...hamna la maana humo
 
Mke wako ana mapepo tena majini mabaya kabisa, pia inaonekana mke wako bdo mtoto below 18 hajui chochote. Mwambie ni Ghadafi ndie aliekua ameleta jeshi kupga Tanzania 1977 ktk vita vya Nduli. Pia ni huyuhuyu Ghadafi aliedondosha biblia chini nchini Uganda. Ni huyuhuyu aliekua anashnkiza watu kufuata imani yake. Hampo serious na huyo wahara wako.
malipula makarura
Wandungu msiyojua kitu nyie...VITA vya kagera tulisaidiwa na ISRAEL,UK,USA mwanzo hadi mwisho walitufadhili kila kitu.... Kwakuwa walikuwa na hesabu nae, kisasi na Mrhm.IDDI AMIN !! sababu aliwadhalilisha na kuwanyanyasa... hivyo walitumia nguvu zote (miltary,Logistics,Hardware,Intellejensia,nk,nk) !!

very sad na vijana wa jeshi la ZANZIBAR NAVY kuwa chambo cha vita , kupitia mgongo wa mashujaa wa TZ !!
FGYI, hamujui lolote... mie simtetei Col.M.Gadaffi wala sitetei upande wowote !! Haki isemwe...na kama huamini soma kitabu kinaitwa "FOLLOW HIM" !!!!
Acheni kupotosha...... kuongeza zaidi Misaada ilimiminika TZ baada ya kupatana na LIBYA !!
 
Last edited by a moderator:

wewe ukiwekewa watu wawili

mmoja ni mwafikra mwenzako ila ni mwislamu
mwingine ni mzungu ila ni mkristo

umeambiwa umuue mmoja mwingine apone

utachagua mwafikra mwenzako afe kisa tu ni mwislamu na utamuacha mzungu kisa tu ni mkristo
 
Yuko wp lufufu mkandalah ili awe anatafsri
 
Wewe acha uongo na kubadirisha historia Israel hawajasaidia kwenye vita vya kagera wewe sema walisaidia kuunda JKT.
malipula makarura
Wandungu msiyojua kitu nyie...VITA vya kagera tulisaidiwa na ISRAEL,UK,USA mwanzo hadi mwisho walitufadhili kila kitu.... Kwakuwa walikuwa na hesabu nae, kisasi na Mrhm.IDDI AMIN !! sababu aliwadhalilisha na kuwanyanyasa... hivyo walitumia nguvu zote (miltary,Logistics,Hardware,Intellejensia,nk,nk) !!

very sad na vijana wa jeshi la ZANZIBAR NAVY kuwa chambo cha vita , kupitia mgongo wa mashujaa wa TZ !!
FGYI, hamujui lolote... mie simtetei Col.M.Gadaffi wala sitetei upande wowote !! Haki isemwe...na kama huamini soma kitabu kinaitwa "FOLLOW HIM" !!!!
Acheni kupotosha...... kuongeza zaidi Misaada ilimiminika TZ baada ya kupatana na LIBYA !!
 
Last edited by a moderator:
Wewe acha uongo na kubadirisha historia Israel hawajasaidia kwenye vita vya kagera wewe sema walisaidia kuunda JKT.
Kibogoyo wa kichwani, Sasa JKT ndiyo soko la daga
au JKT ni mnada wa ng'ombe kama wewe usiyoelewa !! Jeshi ni linafuata Mafunzo na tactics za Mfadhili ISRL !! Na hao ISRL walisahau aliyowafanya Mrhm.I A Dada ? kalale huko na tu2 wako...
 
Mungu wa haki ndio mwenye mamlaka ya kuwahukumu viumbe wake na yeye ndiye anayewajua Zaidi wanayoyaficha na wanayoyadhihirsha. Uliyoyataja si kipimo cha kutokukubalika kwa Gadafi kwa watu wote labda kwa baadhi ya watu. So tumuachie Mungu wa kweli ahukumu siku ya malipo.

tungepata viongozi werevu kama gadafi kumi afrika tungekuwa mbali,rip kamanda
 
Mke wako ana mapepo tena majini mabaya kabisa, pia inaonekana mke wako bdo mtoto below 18 hajui chochote. Mwambie ni Ghadafi ndie aliekua ameleta jeshi kupga Tanzania 1977 ktk vita vya Nduli. Pia ni huyuhuyu Ghadafi aliedondosha biblia chini nchini Uganda. Ni huyuhuyu aliekua anashnkiza watu kufuata imani yake. Hampo serious na huyo wahara wako.

acha propaganda, nyerere ndiye aliyeanza uchokozi wa kumhifadhi obote na kumsaidia ili amuondoe idd amin, ulioni hilo ? angalia chanzo kwanza
 
Mkuu kiukweli hoja yako INA make sense. japo kuna Madai nimeyasikia pia sijajua undani wake.

MADAI kuwa Amin alitaka awe na bandari katika bahari Hindi kama Kenya na Tanzania

Madai eneo LA mutukula misenyi,kyaka, kageta sugar, mpaka MTO Kagera lenye wakazi wengi waganda kuwa ni eneo halali LA Uganda
Ama Kagera yote ni eneo halali LA Uganda.

Hata mpinzani wa museven alipokuwa kwenye kampeni akatamka wazi kwa waganda kuwa wakimchagua analirudisha. Inadaiwa wilaya ya misenyi imeundwa na serikali ili kuondoa am a kupunguza uwezekano huo kwa uganda.
Madai kutoka kwa Amin mwenyewe akiwa uhamishoni Saudis akihojiwa na bbc alisema nyerere ni mrongo(mwongo na sio mhongo) ndiye alianza kumshambulia na Libya ikaingilia kumpa sapoti Amin.
Hope unajua kuna mgogork wa mpaka na Malawi kule lake Malawi.
 
Wewe kataa lakini kaa ukijua Israel walianzisha JKT 1967 wala hawakushiriki kwa njia yoyote kwenye vita vya kagera Zamiluni Zamiluni.

Back
Top Bottom