Mke wangu amekutwa HIV+

Punguza pressure wewe,HIV iko manageable ,tafuta namna ya kuishi nae kama unataka japo amekudanganya..

Ingekuwa ni wewe umemuambukiza angeshakuwakia zamani sana,hata hivyo mshukuru kwa kukulinda.
 
Uliposema mwalimu wa shule ya msingi! Kwangu ikawa imetosha, ninawajua ni izegoo.
 
Hapana.
Kwa kufanya hivi amepunguza kidogo mzigo wa moyoni na kichwani.

Anahitaji counselling haraka sana. Anaweza kufanya kitu kibaya muda wowote.
Yaani afanye kitu kbaya kwa kutoambukizwa ukimwi.?
Anachopaswa kufanya ni kuendelea na maisha na kuomba mungu mtoto wake awe salama.
Aliyechepuka kapata adhabu yake...hasira hazitasaidia chochote
 
Mwanamke akishajifunguwa ile arobaini ya mtoto lazima uzibuwe masikio ili mtoto asikie vizuri, yani kula mzigo hakuna cha kusubili.

Unaweza kuishi mke na mume na mkafanya tendo la ndoa kila siku lakini mkapima mmoja akaonekana hana maambukizi inatokea sana.

Kilichobaki hapa kama unampenda mkeo nenda kwa wataalam wa hizi mambo watakupa elimu ya kuishi naye bila tatizo.

Kwa sasa ugonjwa unaosumbuwa ni covid, cancer na figo.

Ukimwi umeshapitwa na wakati hauna chati tena.

Jaribu kumuuliza mgonjwa wa figo kati ys ukimwi na figo anachaguwa ugonjwa gani? Ndio utaelewa somo.
 
Duh, mwanamke ni muhuni huyo, kuna mwanamke anaishi bagamoyo na mumewe wakati anaomba ruhusa kuja kumtembelea mama yake masela geto wanalala nae kwa zamu, kakshatoa mimba kama 3 za masela, mm nilikua nikiishi humo geto ilikua inaniuma sana coz demu ni mke wa mtu alaf yuko so beautiful haswaaa, mumewe hajui anachofanywa yaani analalwa usiku mzima, washkaji wanajipigia sana mpaka nimesafiri sijui kilichofuata, ndoa mtihani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…