Mke wangu amekiri kunisaliti

Kwani asingepata gono angekwambia? Ujuwe mkeo anapenda michepuko ndo maana kwanza alikataa kumeza dawa akaenda kumpigia simu mchepuko wake wakakubaliana ni kweli ana gono ndo kuja kunywa dawa. Huyo ni mkeo humu jf utaongezewa stress bora uamuzi wako wa kumsamehe ungekuwa wako peke yako au ungepata ushauri toka mdomoni mwa watu na siyo jf. Pole.
 
Dah hiyo situation ya kumsomesha then unapigiwa ishakuwa ni tatzo sugu sasa
 
mi akichepuka tu wala siombi ushauri kwa mtu,napiga chini maisha yanaendelea silei maradhi
 
Kama umeamua kumsamehe mmsamehe tu, but kama moyo unauma chepuka na wewe au mwambie aende kwao kwanza hadi roho iache kuuma.

Lastly piga chini. Kumbuka kuwa huyo jamaa alokuwa anatembea naye hawawezo kuachana hadi uchaguzi 2025.[/QUOTE]
 
...............dhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
.....mweeeeeeeeeeeee
 
Napata wasiwasi kidogo, unasema ulimuoa akiwa na miaka akiwa ametoka kumaliza kidato cha............Ina maana shule ya msingi alianza akiwa na miaka mingapi?
.........Dhaaaa hiyo ni issue........
 
Unamsomeshe mwanamke wa nini, yeye bada mbichi kakutana na masharo chuoni wamegaragaza mbaya mpaka anaacha kukuheshimu! Hapo bado ngoma tu, ukitaka usalama aache chuo afate kazi moja ya ndoa basi.
......maisha ni safari
 

Dhaaaa....shidhaaa
 

Mungu ni mwaminifu sana....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…