wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,435
- 3,113
Hongera sana kwa malezo yako murua. Je, kwa sasa unamshauri nini huyu mkaka i.e. afanye nini?Huyo bado anakula ujana kaolewa bado mdogo sana na hawezi kuacha kuchepuka. Na aliolewa na we we baada ya kuwa hana options. Hakupendi huyo anakutumia tu na lazma aje akuache.
Pole sana the more anavosoma ndo mapenzi yatakavozidi kuisha.
KANUNI YA KUTUBU NI
1. Kujua kosa
2. kujutia kosa
3. kuchukia kosa
KWA IYO WW MSAMEHE.NA CHA MUHMU HAPO NI KUMPOKEA YESU
Nawashukuru ndugu zangu wote mlionishauri, najaribu kifafanua maeneo ambayo labda sikueleweka. Kwa sasa nina miaka 31 naye 25....mtoto wetu anamiaka 5. Wakati naoana na mke wangu alikuwa mbioni kujiunga na nursing na familia yake ilikuwa tayari kumsomesha. Hatoki katika familia masikini hivyo hakuolewa nami kama option ya kujinasua toka katika umaskini. Mke wangu baada ya kumsamehe alidai yuko tayari kubaki nyumbani na kuachana na kazi.........kati maelezo yake alinambia kuwa siri hiyo asingeweza kuishi nayo kwa vyovyote na anasema aliuahidi moyo wake ipo siku atakuja nambia bila kujali nitachukua uamuzi gani akiamini akisema ukweli atakuwa huru........sijui....ila ninachojua kwa miaka mitano niliyo ishi naye yeye ni mtu asiyeweza kuishi na kitu moyoni....hamudu kuhimili na kitu moyoni.......nilimwambia hakuna kwenda kazini na asahau kihusu kazi akasema yuko tayari kubaki byumbani ila ameomba nimjengee mabanda afuge kuku na kulea familia...........naomba maoni
sijui kwa imani yako! lakini kwa imani yangu mimi;mwanamke aliye kwenye ndoa ama ukimfania au akikiri kuzini basi unatakiwa UMTALIKI na kuwa ukimsamehe ndivyo mungu anavyozidi kuwa mbali na wewe.
Umepata bahati amekiri,unampepelea wa nini tena maana hapo anazidi kukuona dhaifu
acha akale ujana,jiepushe na magonjwa ya kuua huko mbele.
Kwenye uislamu ndiyo maana hukumu kwa tendo la kizinzi lililofanywa na mwanandoa ni kifo,lengo ni kuwa:endapo mzinzi atapata gonjwa la zinaa asije kumuambukiza asiyezini(mwenza).kama ni la kuua afenalo mwenyewe.
kwa asiye mwana ndoa ni bakora 100 za haja,
Kosa kubwa kuingilia majukumu ya wazazi wake. Mwanamke asomeshwi.
Nawashukuru ndugu zangu wote mlionishauri, najaribu kifafanua maeneo ambayo labda sikueleweka. Kwa sasa nina miaka 31 naye 25....mtoto wetu anamiaka 5. Wakati naoana na mke wangu alikuwa mbioni kujiunga na nursing na familia yake ilikuwa tayari kumsomesha. Hatoki katika familia masikini hivyo hakuolewa nami kama option ya kujinasua toka katika umaskini. Mke wangu baada ya kumsamehe alidai yuko tayari kubaki nyumbani na kuachana na kazi.........kati maelezo yake alinambia kuwa siri hiyo asingeweza kuishi nayo kwa vyovyote na anasema aliuahidi moyo wake ipo siku atakuja nambia bila kujali nitachukua uamuzi gani akiamini akisema ukweli atakuwa huru........sijui....ila ninachojua kwa miaka mitano niliyo ishi naye yeye ni mtu asiyeweza kuishi na kitu moyoni....hamudu kuhimili na kitu moyoni.......nilimwambia hakuna kwenda kazini na asahau kihusu kazi akasema yuko tayari kubaki byumbani ila ameomba nimjengee mabanda afuge kuku na kulea familia...........naomba maoni
Kosa kubwa kuingilia majukumu ya wazazi wake. Mwanamke asomeshwi.
Huyo bado anakula ujana kaolewa bado mdogo sana na hawezi kuacha kuchepuka. Na aliolewa na we we baada ya kuwa hana options. Hakupendi huyo anakutumia tu na lazma aje akuache.
Pole sana the more anavosoma ndo mapenzi yatakavozidi kuisha.
msimpoteze, ye kashaoa, majukumu yote kuhusu mkewe ni yake na kwa pamoja wanaweza kushauriana ila tu wanwake wapo tofauti,..ndugu,pole kwa maumivu ya moyo..kwani kazi anaenda mbali?hapa inabidi kupanda mzizi wa uaminifu tena,kwa ninavyoona, cause msipofanya hivyo mtaanza kugombana soon..pole