Mke wangu amejifungua mtoto njiti nibaki sielewi kabisa

Fazzah5x

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
197
Reaction score
287
Habari za mida hii wakuu natumai mko salama

Leo Ni siku ambayo siko siko sawa psychologically😔

Ndio Mara yangu ya kwanza kuingia katika maswala ya uzazi yaani kupata mtoto

Ya Mungu mengi kwa Hali isiyotegemewa mchana wa leo mwali wangu aliniita home akidai anasikia maumivu makali KIUNONI ya kubana Sana Kisha na kuachia Mimi mwenyewe bado mgeni nikawa sijaelewa vizuri bado ikabidi nimchek sister akaja ndio akamuita mama pia wakaniomba kiasi kadhaa wamuwahishe kituo Cha afya
Alipelekwa na ilipofika mida ya jioni nikaenda kucheki kinachoendelea naambiwa kajifungua mtoto NJITI (miezi7)

Imenishtua kiasi ukiunganisha na ugeni was Mambo ya uzazi

Hivi navoongea nimeshakomba kipa Senti iliyokuepo na kuuza simu kubwa niliyokua natumia means hapa nimeingia kwa mtu

Na mpaka Sasa tumepeleka hospitali ya rufaa kwa maelekezo but hapa nimekwama kabisa ndugu zanguni😔
Kuna pesa zinahitajika mno
Nimevunjika moyo
 
Usivunjike moyo kabisa kupata mtoto njiti ni jambo la kawaida kwenye mambo ya uzazi. Pambana na litapita utasahau
 
Back
Top Bottom