Mke wangu amebadilika sana

Vijana wa siku hizi bhana yani jambi dogo tu unaanzisha uzi kabisa!Nahisi ulioa wakati ambao sio sahihi! Man the f*ck up kid!
#kamahakunaulazimausiwowe😅
 
Njoo inbox nikusaidie
 
Vijana wa siku hizi bhana yani jambi dogo tu unaanzisha uzi kabisa!Nahisi ulioa wakati ambao sio sahihi! Man the f*ck up kid!
#kamahakunaulazimausiwowe😅
Sio ujana ndio unaanzisha uzi bali ni demokrasia inampa mtu uhuru wa kutoa maoni,ni muhimu kulitambua hilo na kuwa na stahmala ya kuvumilia maoni ya wenzetu japo hatuyapendi
 
Ulfikia wapi, kuna sehemu inafika peaneni distance, mrudishe kwao...
 
Kosa lako ni kutaka kumbadili mkeo kutoka mama wa nyumbani hadi mama mfanyabiashara,wanawake akili zao wanazijua wao.


Kama ulitaka kutoa mke mfanyabiashara Bora ungeoa huyo,kuliko kuoa mama wa nyumbani ndo umfanye mfanyabiashara hakika utajuta.

Mke wangu ni mwalimu,nilianza kusikia vijimane o vya wakuu wa idara eti wampe ukuu wa shule ,mara namnyima Raha,duh huwezi amini nilimfuata Afisa Mmoja nikampasha maneno mzito sana na nikamwambia akome mara Moja,kwani halmashauri Ina walimu wengi wa kike na wanataka ukuu wa shule ,sio familia yangu.

Nikarudi na kwa shemeji yenu nikamwambia Mimi sikuoa mkuu wa shule,niliona mwalimu,kama ningetaka wakuu wa shule,wakati nakuoa walikuwepo,hivyo Kaa nyumbani tulia na uendelee na kazi zako za kawaida.


Mwanamke kwa kawaida akianza kujiona anakuzidi au mko sawa,lazima ndoa iyumbe
 
Hebu mpige kibao uone kama atakurudishia
 
eti ulimpa mtaji wa biashara aji komboe, yesuu 🤔.

Mzee unge anzisha biashara, kisha yeye awe kama mwajiriwa aki zingua ni kutimua.

Hapo asha kutana na wa level zake, we kunguni uta mwambia nini 😂 😁
Aisee, unamkandia huyo Wife kama vile una uhakika, je kama ni kisirani cha mimba tu?
Tusiconclude bila ushahidi Sheikh
 
Huo msimamo wako kaka una dosari kwa dunia ya leo,mkuu wa shule ni mwalimu pia na kama unadhani kuwa vyeo ndio humfanya mwanamke kuchepuka,sio sahihi,hivyohivyo alivyo mwalimu anaweza kuchepuka sana tu
 
Pole sana Mkuu,
-Usiache kumgonga tafadhari sana mkuu,
  • hizo disrespect ni zakawaida sana hebu jaribu kumpima mimba,
  • jaribu kutokuwa karibu naye muda wote
  • nguo afue mwenyewe kama awali usifue ww,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…