Nimekuelewa sana Mkuu.
Umeweza kueleza matatizo mbalimbali yanawakumba wanajamii au matatizo yaliyo katika jamii yetu.
Usiposikia mtu analalamika kuhusu ndoa, utasikia analalamika jinsi polisi wanavyotesa watu, utasikia watu wakilalamika kuhusu kukosa chakula kwa sababu msimu haukuwa mzuri.
Hongera sana Mkuu. Umetimia akili kubwa sana.