Mke wangu amebadilika sana kwa sasa.

Mke wangu amebadilika sana kwa sasa.

Dafugwadu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
4,733
Reaction score
5,251
Salama wakuu? Tumefunga ndoa takribani miaka 9 iliyopita, mara ghafla mvua ikaanza kunyesha kugeuka nyuma kimbembe si ndio nikajua naharibu! Ile kushangaa polisi nao hao wanakula maembe ebanaee jirani naskia kapanda mwendokasi! Basi bwana ujue nini? Msimu wenyewe haukuwa mzuri kwani unauzaje? Mayowe yakasikika hebu funga halafu au nipe mbili mpigie simu we nenda tu mpe hi. Matikiti mumunya kama pipi meza panadol funga jicho kidogo sana uuuuuwiii teh kwani kasemaje?

Nb:utarudia kusoma hata mara mia, wakati mwingine sio lazima uelewe kila kitu.
 
Bangi mbaya....au ndo shule zimefunga
 
Hahahaha kudadeki zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa heshima na taadhima mods tunaomba huu uzi pelekeni jukwaa la jokes
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom