Mke wangu afariki akiwa bikra

Kuna vitu vya kuandika kwa kuigiza lakini siyo hiki ulichokiandika wewe,Mungu akusamehe maana hujui ulitendalo.Unaweza ukaandika kwa kuwafurahisha watu kwa kudhani eti jina lako siyo halisi lakini kumbuka umeandika wewe kama wewe na nafsi itakusuta.Narudia tena Mungu akuhurumie na akufungue ufahamu
 
we sema una demu bk alafu anakuambia mpaka muoane ndo akupe na sio umemuoa na akafa hapo unatuandikia scene ya maisha yako kama INgekua bado haujaoa na tena unaish kwa mamako
 
Mkamaliza form 4 2012 kwa hiyo mkaoana mwaka gani? 2013 au? Kwa hiyo mkaona ni bora kuoana kuliko kusoma maana mngekuwa mnamaliza form 6 mwaka 2014!!!! Yaani O level unawaza kuoa!!! Hakika elimu tunaichezea!!!! Endelea kuichezea na ya huyu wa form 6!!!
 
Kichwa cha habari na maudhui yaliyomo yanaonesha mleta uzi hayupo siriasi. Jiandae kupokea mrejesho wa mzaha wako...
 
naona umeingia jana tu. ungesoma kwanza mazingira ya humu, utapata shida sana. pole kwa mkasa, anyway.
 
Pole sana mkeo moja kwa moja peponi anaenda
 

mi nimefanya mahesabu nikaona hayaji.

Nikaona isiwe shida, sitaumiza kichwa. lol
 
Sheikh wangu weye wafaa kuwa padre au mtawa...Tafadhali simamia hapohapo nami nakupa tano....Usichepuke subiri......
 
dah! msimshambulie huyu jamaa, yaonyesha nae ni bikira pia....!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…