Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,822
we nawe hahhahah ....:smile-big:Umenitaja mimi?samahani lakini kingereza ndo kinanipa wakati mgumu
we nawe hahhahah ....:smile-big:Umenitaja mimi?samahani lakini kingereza ndo kinanipa wakati mgumu
Mimi mme wangu alinipata kwenye ndembendembe......
Naomba tufahamishane mke mwema hupatikana wapi. Bar, Club, Kanisani na misikitini, Mtaani, N.K