Mke wako mke wangu!!!,mke wangu wangu mwenyewe!!!

Mke wako mke wangu!!!,mke wangu wangu mwenyewe!!!

Nokia3D

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
74
Reaction score
1
Ni misemo ya kiswahili hutumika kusanifu na kufasili mambo ya kimapenzi.
Kwa wale penda penda wa wake za watu hunena kwa kusema mkeo huenda akawa wangu kwani hakuna tofauti ya radha ya mapenzi.
Ila mke wangu ni wakwangu pekee huezi kumpata kamwe.sasa ni tahadhari ya maisha tu.

Kuna tafsili tofautitofauti zinazoweza kusawili katika jamii. Lakini ni kitendo cha kutokuwa na tamaa ya mwili.kumbuka magonjwa mengi sana.

Mawazo yako siwezi jua yatakuwa yamelenga nini?!
 
kiswahili chako kigumu sana. bora tena na kiingereza
 
mie ndio sijaambulia kitu kabisaaaaa...ebu fafanua..
 
kiswahili chako kigumu sana. bora tena na kiingereza

hahahahahahahahaha you know sometime i should use the concrete swahil which can be not easier to understand without thinking.
 
mie ndio sijaambulia kitu kabisaaaaa...ebu fafanua..

unajua mapenzi siku hizi ni ya kuchukuliana wapenzi usishangae mpenz wako anadate na mwingine.so wako wangu na wangu ni wangu kwa mda
 
unajua mapenzi siku hizi ni ya kuchukuliana wapenzi usishangae mpenz wako anadate na mwingine.so wako wangu na wangu ni wangu kwa mda
Alaah kumbe ndio hivyo eeh! Mbona jamabo la kawaida hilo sikuizi akiwa ndani wako akitoka nje siwako,na wala sikuizi watu BP hawajitii aende tena afike sikuambiwa YUKO niliambiwa WAKOO!............
 
mi ni mwalimu wa kiswahili ujue lakini walahi hapa kama nasoma kichina!
 
Back
Top Bottom