Mke wa zuzu adai talaka.

Mke wa zuzu adai talaka.

bothlegs

Senior Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
123
Reaction score
49
Zuzu alimwambia zuzu mwenzake. Mke wangu tunagombana kila siku ananidai talaka. Mwenziwe akajibu bora umpe tu msije mkagombana mpaka mkafikia kuachana.
 
Hahahha jamani zuzu plus zuzu unapata kichaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom