tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 282
Mke wa Rais wa Zanzibar mama Mwanamwema Shein amezindua kituo cha polisi cha Tumba mkoa wa Mjini Magharibi.Katika uzinduzi wa kituo hicho, kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa ndiye alikuwa mwenyeji wa mama Mwanamwema.
My take: Katika siku za nyuma uliwahi kuzuka mjadala kuhusu shughuli za kisisa alizokuwa anazifanya Mama Salma Kikwete na akawa anasomewa taarifa za maendeleo na wakuu wa mikoa, wilaya nk. Watu wakahoji yeye ana wadhifa gani serikalini. Sasa Hili la kituo cha polisi imekaaje wakuu?