Mke wa rafiki yangu

Sawa ukiachana na popo Kanyea mbingu jiandae kwa style ingine yakubeba tofali🙄
 
Tangu umechukua bandari zetu mwaka juzi, naona umeamua kuchukua na tabia zetu za Kiswahili

Waarabu wenzio wa Dubai hawana hiyo tabia boss

Huku sisi hatuna jambo dogo kwenye kuibiwa mke, tukijua lazima tukushushe mshipa ama ulale ndani ya nyumba, uamke ukilala nje 🤪
 
Weka umakini kwenye Biashara kiongozi.

Kama nyumbani kuna amani na biashara inaenda vizuri, usilete tatizo lingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…