Mbona mmeshupalia sana suala la kuwa na wake wawili ambalo siyo hoja ya msingi ya mtu aliyeleta hii thread?
hata hivyo kama ana wake wawili inawahusu nini? Je siku tukipata Rais kama Mswati mtasema mangapi? Au mtakimbilia kupeleka Dada zenu na watoto wenu waolewe na Rais?
Je, kama kweli alishaamua kuoa mke wa pili angemuoa nani?......Nakumbuka Mzee Makamba alipokuwa RC wa Dar aliwahi kufukuza gari moja lililokuwa limebeba Changudoa maeneo ya K'ndoni, mara alipolifikia gari hilo na kulisimamisha alimwamuru mwenye gari hilo amshushe huyo dada poa, Jamaa akamjibu hivi,.......... basi ngoja nimshushe ili upande wewe.
Swali, je mnataka JK amshushe ili mpande ninyi? Acha upuuzi, jadili mambo ya maana.