Mke wa Mzungu ananitaka, nifanye nini? (True Story)

Ongea na maza upange kiji-room au apartment kutumia hiyo $1000 ili uondoke hapo nyumbani mwanae mdanganye unaenda mji mwingine kuna kazi unafuatilia. Hayo mambo uwe unafanya nae nje na nyumbani kwake. Ukiwa stable unampotezea kidogo kidogo. Usiendelee kufanya nae hapo kwake siku ya siku faza house atarudi usiku atakufanya kitu mbaya.
 
Ntazingatia uu ushauri
 
Ila uku hakuna room za kupanga ni bed spaces ambazo mnalala wanne room ni dollars 800 kwa mwez
 
acha waisome nambaaaaaaaa.............singapore mbele kwa mbeleeee

pole sana...
kula mzigo hakuna namna...
ndo matatizo ya kuishi ugenini..
mechi za ugenini ngumu
Nikimaliza kusoma namba nawasomesha nyie heheh
 
Nao wanatumia khangà wakati wa kulala ? Duuuh kumbe kote sawa eeeenh
 
Kamilisha tustuane aisee! Hata kufagia utakapopata
Sawa kaka, lakin uku wako makini hata wafagiaji (cleaner ) wana mikataba siyo kama bongo, na minimum salary ni hao cleaner 1500 dollars per month
 
Back
Top Bottom