Ikoje hiyo mkuu?.Ifungulie uzi utufafanulie.Polyandry inaitwa
Mwanamke anaolewa zaidi ya mume mmoja ipo India
Naunga mkonoKwa uelewa wangu naomba nitofautiane nawe. "Labda alimaanisha mke mmoja kwa mumewe!" Kwa maana kwa waislam tunaruhusiwa kuoa hadi wake wanne, hivyo kwa mumewe yeye yuko pekee.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kasoro Roman Catholic,,, kwahiyo wakristo wengine wanaruhusiwa kuoa wake wengi?! Acha umama wewe
I second you..!!Maana yake hachepuki
Mie ni RC hivo sina ufahamu ya Ukristu kwengine. Kwani mkuu si unashuhudia jinsi utitiri wa mahubiri kwa kumtumia Yesu Kristu ulivoshamiri duniani?Kasoro Roman Catholic,,, kwahiyo wakristo wengine wanaruhusiwa kuoa wake wengi?! Acha umama wewe
Nadhani pana 'you tube' ya mahojiano haya itafute. Alisema 'MIE NI MKE WA MME MMOJA'. Nimesisitiza hapo mkuu.Kwa uelewa wangu naomba nitofautiane nawe. "Labda alimaanisha mke mmoja kwa mumewe!" Kwa maana kwa waislam tunaruhusiwa kuoa hadi wake wanne, hivyo kwa mumewe yeye yuko pekee.
Chief hapa labda ungeweka hiyo link ungetusaidia sana.Nadhani pana 'you tube' ya mahojiano haya itafute. Alisema 'MIE NI MKE WA MME MMOJA'. Nimesisitiza hapo mkuu.