Mke wa mtu

Mke wa mtu

umeshasema mwenyewe kuwa now umejua kuwa ni mke wa mtu hivo piga chini maana yatakayokukuta ni shidaaa muulize Mh. Amir Nondo Meya wa manispaa ya Morogoro walimfanya nini???!!
 
Je unamiliki bastola maana ukifumaniwa inaweza ikakusaidia kuwashinda nguvu watatua malinda ila kama huna mwachee kaa mbali
 
Wengine kama wewe wakinaswa huwa wanaliwa kinyume na maumbile....
 
Back
Top Bottom