mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,038
- 2,740
mega tu wala usiwaze. unajua wanawake wazuri wanaolewa haraka sana. kwa hiyo hata huyo atakuwa mzuri.....mega ukifumwa utamwambia mwenye mali mkeo mzuri inabidi ale na wenziwe
Really?
mega tu wala usiwaze. unajua wanawake wazuri wanaolewa haraka sana. kwa hiyo hata huyo atakuwa mzuri.....mega ukifumwa utamwambia mwenye mali mkeo mzuri inabidi ale na wenziwe
Njia kuu ya mwenzio ndo chepuko lako
Na mwanaume wa ukwel haogopi mwanaume mwenzie
Heheheheh dah...unafurahia mtu akitatuliwa
Daaah hivi kwanini ukianzisha mahusiano na mke wa mtu ni kazi sana kukatisha na mwisho wake huwa ni fumanizi???....Nimenasa kwa mke wa mtu sikuwa najua kama ameolewa wakati natupa mshipi, baada ya penzi ndo anasema yeye ni mke wa mtu wakati nshachonga mzinga mie kwa asali ilivotamu. nimenasa na pezi lake sasa nawaza nifanye nini coz nipo njia panda..
Wakishamtatua linda wanashona halafu wanatatua tena.....mpaka marinda yaishe....
kula kwa machale ukinaswa uwe mpole