Mke wa mtu

Mke wa mtu

Daaah hivi kwanini ukianzisha mahusiano na mke wa mtu ni kazi sana kukatisha na mwisho wake huwa ni fumanizi???....Nimenasa kwa mke wa mtu sikuwa najua kama ameolewa wakati natupa mshipi, baada ya penzi ndo anasema yeye ni mke wa mtu wakati nshachonga mzinga mie kwa asali ilivotamu. nimenasa na pezi lake sasa nawaza nifanye nini coz nipo njia panda..

Wewe umekuwa ni mtu Mwenye kutojipenda... Umekuwa ni mtu Mwenye kudharau matukio kama ya kina ufosaro na Mushi au kama haya....!!!
 

Attachments

  • 1403445396135.jpg
    1403445396135.jpg
    60.1 KB · Views: 248
  • 1403445430422.jpg
    1403445430422.jpg
    51.2 KB · Views: 245
Niagieni niagieni,niagieni na rafiki zangu,,ninakwenda kwa .....
Sitarudi milele yote,niagieni,niagieni!

Huo wimbo unakuhusu,kuepusha ugomvi wa kifamiliya baadaye unaweza kuandika wosia kabisa!
 
wadau hivi musoma mjini dadapoa wanapatikana wapi?

Ile njia ya night club ya moden, we pita mishale flani hiv utajibebea mzigo.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
mhhh mwambie tu ukweli kuwa huwezi kuwa naye kutokana na sababu ya kuwa ye ni mke wa mtu na hupendi matatizo:A S 11::A S 11::A S 11:
 
cha mtu mavi na kinauma ukikuta mtu anakitumia ovyo,dah ngojea uone mwisho wake
 
Back
Top Bottom