Ayusema
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 549
- 189
Daaah hivi kwanini ukianzisha mahusiano na mke wa mtu ni kazi sana kukatisha na mwisho wake huwa ni fumanizi???....Nimenasa kwa mke wa mtu sikuwa najua kama ameolewa wakati natupa mshipi, baada ya penzi ndo anasema yeye ni mke wa mtu wakati nshachonga mzinga mie kwa asali ilivotamu. nimenasa na pezi lake sasa nawaza nifanye nini coz nipo njia panda..