Mke wa mtu

Mke wa mtu

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Alikuwa mpenzi wangu kabla ya kuposwa na kuolewa japo iliniuma sana nilisahau maisha yakaendelea.

Amejaaliwa kupata mtoto moja na maisha yanaendelea na mumewe.

sasa siku hizi ameanza kamchezo kakutuma text..mara "baby", eti amenimiss, anataka akumbushie kamchezo.

Mpaka sometime huwa nahisi ni tego...mie huwa simjibu kitu.

Ila siku zinavyoenda anazidisha text... au ndo wametega mtego?

ushauri wenu wana JF..
 
Kaka achana nae. Wake za watu ni watamu kuwakamua but it aint worth it dawg. The guilt you feel afterwards is simply unbearable.
 
kabla huja du na mke wa mtu nunua kwanza maziwa fresh kisha weka geto, mke wa mtu sumu.
 
Alikuwa mpenzi wangu kabla ya kuposwa na kuolewa japo iliniuma sana nilisahau maisha yakaendelea.. Amejaaliwa kupata mtoto moja na maisha yanaendelea na mumewe... sasa siku hizi ameanza kamchezo kakutuma txt..mara "baby", eti amenimiss, anataka akumbushie kamchezo... mpaka sometime huwa nahisi ni tego...mie huwa simjibu kitu......ila siku zinavyoenda anazidisha txt... au ndo wametega mtego????

ushauri wenu wana JF..
Be Careful its very dangerous to date or having an affair with someones wife,just ignore any trap
 
Hiyo kitu weka mbali na watoto! kama aliashagaolewa acha kabisa na uwe muwazi kwake kama ulivyokuwa muwazi hapa Jaf. Mwanbie hayo mapenzi yalishagapita Abaki njia kuu. Nihatari kwa maisha yako!
 
  • Thanks
Reactions: aal
Wewe ni mvulana au mwanaume?

Binadamu sometime wana akili mbili mbili then wanasema shetani... haina haja ya kujua kama me na ke ni binadamu means na mvulana ni me... Gwamahala
 
Last edited by a moderator:
Fanya kama mke wako ndo anachukuliwa na mwanaume mwingine! Utajisikia vipi?
 
Tell her to stop bugging you and at least respect her marriage.
 
Alikuwa mpenzi wangu kabla ya kuposwa na kuolewa japo iliniuma sana nilisahau maisha yakaendelea.. Amejaaliwa kupata mtoto moja na maisha yanaendelea na mumewe... sasa siku hizi ameanza kamchezo kakutuma txt..mara "baby", eti amenimiss, anataka akumbushie kamchezo... mpaka sometime huwa nahisi ni tego...mie huwa simjibu kitu......ila siku zinavyoenda anazidisha txt... au ndo wametega mtego????

ushauri wenu wana JF..

Take care !! Utajuta kuzaliwa
 
Huyo kwa ss ashageuka ni sumu kwako,kama alikupenda ilikuwaje akaolewa na mwingine?
 
Back
Top Bottom