Mke wa mtu....

Huyo mwanamke hakuwa mke wa mtu ila mwanamke anayeishi kwa kutumia bongo zake kali. Na yaelekea anamfahamu sana huyo mtongozaji ndo maana alimpima kwa kamilioni kamoja. Alijua hana ndo maana alitoa dau hilo akijua jamaa atakuwa na kigugumizi hapo.Kwa kifupi huyu mama alimfundisha kwamba asiwe na tabia ya kuparamia ovyo wanawake kwani wana gharama
 
Rafiki yako anakosea kusema mke wa mtu ghali.

Mke wa mtu hana bei mshikaji.

Huyo si anaitembeza kwa milioni? Sasa milioni nayo ni pesa.

Mimi navyo elewa wake za watu hawajiuzi kwa bei ya aina yoyote.

 
Rafiki yako anakosea kusema mke wa mtu ghali.

Mke wa mtu hana bei mshikaji.

Huyo si anaitembeza kwa milioni? Sasa milioni nayo ni pesa.

Mimi navyo elewa wake za watu hawajiuzi kwa bei ya aina yoyote.


ni kweli kabisa, wengi wao huwa wanahonga wao.:eyebrows:
 
Yawezekana wakati fulani tunashindwa kujua thamani za wake zetu....

Ikifika wakati sasa mwanamke amechoka anataka kuondoka ndipo masikio yanapowasimama sasa...thamani ya kitu mnaijua pale kile kinapokuwa hakipo tena...#Mbaya sana!
 
Pengine wala hakuhitaji pesa ila huyu mwamama kama huu ndio msimamo wake nimeupenda sana maana wanaume hutamani wake za wenzio na ikitokea mume akahisi au kuwakamata shughuli inakuwa ya mwanamke kwani ataachika na jamaa hatomkubali tena ila jamaa akirudi kwa mkewe watasameheana yatakwisha jamani wanawake wanaume hawafahi robo 3 ni waongo matapeli jambo jingine umeolewa na mumeo yupo nje waenda tafuta nini?
 
Back
Top Bottom