sasa nakuelewa,na ndio maana kwenye uzi huu so far hatujampata wa kujilipua kama Serafina na Darlingtone pamoja na kwamba kuna wake za watu humu mmu na surely si wote waaminifu kwenye ndoa zao.
honestly MAMMAMIA humfahamu mwanamke yeyote muolewa anaye cheat? ushamuuliza kwa nini?Kwanza HONGERA SANA RR!
Pili, siku moja cheaters waseme hapa kwa nini wanacheat. Zikisha kueleweka sababu zao, pros and conts, itakuwa funzo la ziada kwa non-cheaters kwao kujiepusha wasicheat.
tunapiga hatua,nasubiri wake za watu ambao wanatoka nje ya ndoa waje wamwage razi hapa.
17.Jitahidi kuzuia usizae nae maana mtoto ndo mwanzo wa dili kubumburuka
Naona wanaume wengi wamekuwa speechless; mkuki kwa nguruwe.
jf,home of great thinkers,where we dare talk openly,watu wasi shy away from this mada.Naona wanaume ndo kabsaaaa yaani kina baba ma regular wa mmu naona idea ya wake zao ku cheat inawapasua kichwa wanaona bora wa peruss lakini wasichangiemzee DC,Aspirin,Kloro,The Boss na crew nzima njooni mjimwage hapa.HApa ndipo unapokimbiza watu Bishanga.......kumbuka kina darlingtone na Sarafina 1 walijitokeza kwa kuwa si wake za watu!
Sijui lakini ila naona kama unazidi kuwakimbiza wachangiaji. Unless hao waume wanaotembea na wake za watu waje watoe experience ya hao wa kwao wanafanyaga nini, na nini hawafanyi. (abayo haitakuwa tena the Dos and Donts)
jf,home of great thinkers,where we dare talk openly,watu wasi shy away from this mada.Naona wanaume ndo kabsaaaa yaani kina baba ma regular wa mmu naona idea ya wake zao ku cheat inawapasua kichwa wanaona bora wa peruss lakini wasichangiemzee DC,Aspirin,Kloro,The Boss na crew nzima njooni mjimwage hapa.
Vitabu vimesema, "mzinifu atamuoa/ataolewa na mzinifu mwenzake". Cheaters (wazinifu) wanajuana na kuvumiliana.
Kama anecdote tu, ninakumbuka katika riwaya moja, bwana na bibi wanaenda kuzini, wakirejea waningia chooni kukoga, kubwa watakumbushana tu, "Usimalize maji yote, nibakishie na mimi".
Kama wewe hucheat na umegundua kuwa umecheatiwa nadhani unajua la kufanya.
Well said Bishanga. But they were unique in their deeds. Kila mtu alikuwa na maajabu yake. And the world has never stopped seeing wonders ever sinceMussa na Farao wote walikuwa binadamu ambao waliumbwa na Mungu huyo huyo mmoja.
Nimekumbuka ile taharabu
"kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini?" lol