Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

Kasredi kamepata posts nyingi kweli, inamaanisha wengi ni washiriki wa nyumba ndogo humu teh teh teh!!
 
Bishanga,weeh tulia. Tutajifunza the hard way. Uhitaji ni chachu ya ufumbuzi. Niliwahi kuona mtu mchakachuaji karudi home kakuta mkewe mjamzito.jamaa aliacha na kazi coz he was working mbali. Alilea mwanae wa kambo kwa upole,mke kumuacha ngumu banaa.
Namimi nikutafute bibie tuzae?
 
Wake za watu wa ajabu sana, yaani mume wake anamjali na kumheshimu, lakini akienda magendo anavurugwa ndogo bila huruma
 
usitoe 0713 mana akinyoosha malinda yakitokea matatizo wakati wa kujifungua manurse watamuuliza mumeo
 
Kuna wake za watu ambao, for some reasons, wanaamua kutembea nje ya ndoa.Si nia yangu kuwahukumu,lakini ili 'wasiharibikiwe' kwenye ndoa zao,natoa hili angalizo.Yote haya ni katika kubalansi maana Mkuu The Boss yeye alikwishatoa angalizo kwa kinababa wenye nyumba ndogo.Naamini bandiko lile limesaidia wengi.Tuanze basi:

Rule no 1: Avoid viserengeti boys,viropokaji hivyo,kazi kujishebedua vijiweni kuwa vina sugamami.Vitaishia kukuchuna tu.Tembea na mtu mzima.

Rule no 2: Ikitokea ukashika mimba ya huyo hawara,tunza siri na dhibiti hasira,yuko mama mmoja in a heated moment alimwambia mmewe..'we nae mwanaume wa kuzaa na mimi' jamaa alimpiga kisu.

Rule no 3: Avoid kabisa mashoga zako,hata awe wa karibu vipi,kujua kuwa una hawara.Mkikosana naye breki ya kwanza itakuwa kwa mmeo.For that matter hata nduguzo wasijue.

Rule no 4: Ukiweza tumia kondom ingawa ni mtihani kwa mtu mnayekuwa naye muda mrefu.

Rule no 5:Usiwe na wivu wa kupindukia kwa hawara yako.Nshawahi kushuhudia mke wa mtu anakwenda kumfumania hawara yake,aliishia kupigana na kuswekwa polisi kijitonyama mabatini,imagine mmewe alipofika kituoni kuuliza kulikoni.

Rule no 6: Hata unogewe vipi na midundo ya hawara,usi criticise performance ya mmeo kitandani,utamuua kisaikolojia.Wewe endelea na kamtindo kako ka aaarg..iiiihhh...unaniua....

Rule no 7:Hata siku moja usipande gari moja na hawara yako,macho mengi mjini hapa.For that matter na gesti/hoteli usiziamini sana.

Rule no 8: Hawara yako kama ameoa,hata kama anamdharau vipi mkewe usimwamini,anajipendekeza tu kwako,avoid kabisa mkewe asijue.Ishawahi kutokea mke yuko sebuleni na mumewe ghafla akatinga mwanamke akamnyooshea mme kidole na kumwambia ...'mwambie mkeo aache kutembea na mme wangu'.

Rule no 9:Kula lakini mbakishie na mmeo,sio ukirudi kila siku ni nyimbo za kichwa kinauma.Na usibadili ratiba ya kurudi nyumbani.

Rule no 10: Kama hawara yako ana ukwasi akikuhonga vitu vikubwa jitahidi mmeo asijue,maana atashangaa unapata wapi pesa.Ukijengewa nyumba ndo kabisaaaa hati ficha mbali asiione.

Wakuu ongezeni na mipweint mingine hapa ili tuwasaidie mamemba wenzetu wazidi kula keki wakati wanaendelea kuwa nayo mkononi.

wanawake hawawezi kubalance kama kweli huyo mcheouko anaupenda utamjua tu.
 
mmh, labda uongee na interchick ndio wana mtambo wa kutotolesha vifaranga.
Mie nafuga simba tu, vifaranga vya kuku nehi nehii

:msela::msela:
Ha hahahahaha..!
Kwani simba unafuga jinsia moja tu au zote na wanazaana?
kama wanazaana,nadhani hawatumii mtambo wa kutotolesha.
ninachotaka kwako ni njia wanayotumia simba wao kujiongeza.
Na hiyo ndo kazi ninayoiomba kwako nitaifanya kwa juhudi na maarifa
:decision:
 
Naomba niongezee kiduchu,

hakikisha unafanya ishu zenu mchana na sio kuchelewa home. jambo hili husababisha wanaume kushtuka mapema.

kwa wale wafanyakazi hii nayo ni rahisi sana kwani anajua uko job.

na hayo tu.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom