Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

sasa nakuelewa,na ndio maana kwenye uzi huu so far hatujampata wa kujilipua kama Serafina na Darlingtone pamoja na kwamba kuna wake za watu humu mmu na surely si wote waaminifu kwenye ndoa zao.

AKSANTE Bishanga.......hili ndilo lililokuwa ujumbe wangu. Kuwa kwa jinsi thread ilivyowekwa inawapa mwanya wengine kupindisha swali na kutoa majibu ambayo siyo yaliyokuwa yanatarajiwa kwenye uzi huu.
 
Kwanza HONGERA SANA RR!
Pili, siku moja cheaters waseme hapa kwa nini wanacheat. Zikisha kueleweka sababu zao, pros and conts, itakuwa funzo la ziada kwa non-cheaters kwao kujiepusha wasicheat.
honestly MAMMAMIA humfahamu mwanamke yeyote muolewa anaye cheat? ushamuuliza kwa nini?
 
tunapiga hatua,nasubiri wake za watu ambao wanatoka nje ya ndoa waje wamwage razi hapa.

HApa ndipo unapokimbiza watu Bishanga.......kumbuka kina darlingtone na Sarafina 1 walijitokeza kwa kuwa si wake za watu!
Sijui lakini ila naona kama unazidi kuwakimbiza wachangiaji. Unless hao waume wanaotembea na wake za watu waje watoe experience ya hao wa kwao wanafanyaga nini, na nini hawafanyi. (abayo haitakuwa tena the Dos and Donts)
 
17.Jitahidi kuzuia usizae nae maana mtoto ndo mwanzo wa dili kubumburuka

kirumonteja mambo ya sha haribika siku hizi ndugu yangu kwani wangapi tunawaona wao hawajui wotot wame mixisiwa na mama zao wanalea tu
kuzaa nje kwa mwanamke si rahisi kujua kama baba akizaa nje , hapo chacha mpaka mtoto anafika mkubwa na anaoa /anaolewa mama hasemi kamwe hata kitanzi lol mwanamke ni mtu wa ajabu sana
 
Jf inageuka sodoma na gomora. anzeni maombi ya kuombea jf kila siku asubh, au waganga wa jadi wamejiunga humu?
 
HApa ndipo unapokimbiza watu Bishanga.......kumbuka kina darlingtone na Sarafina 1 walijitokeza kwa kuwa si wake za watu!
Sijui lakini ila naona kama unazidi kuwakimbiza wachangiaji. Unless hao waume wanaotembea na wake za watu waje watoe experience ya hao wa kwao wanafanyaga nini, na nini hawafanyi. (abayo haitakuwa tena the Dos and Donts)
jf,home of great thinkers,where we dare talk openly,watu wasi shy away from this mada.Naona wanaume ndo kabsaaaa yaani kina baba ma regular wa mmu naona idea ya wake zao ku cheat inawapasua kichwa wanaona bora wa peruss lakini wasichangiemzee DC,Aspirin,Kloro,The Boss na crew nzima njooni mjimwage hapa.
 
Hapana Bishanga bwana najua watakuja tu, sema weekend nayo inachangia.
Haya mie cents zangu mbili kwenye hii thread kwa sasa ni hizo. Ngoja nikawahi kucheat lolh
 
Jf inageuka sodoma na gomora. anzeni maombi ya kuombea jf kila siku asubh, au waganga wa jadi wamejiunga humu?

waganga wa jadi wanahusiana nini na uzi huu? I thought kuna jukwaa la dini humu jf,unakaribishwa huko.
 
ukiona hivyo ujue roho ishatumbukia nyongo hivyo lol hapakaliki kilamtu anawasiwas sijui na wakwangu je mara up mara down
huh life s so funnny ...kwa kweli
wajipe moyo tu kina Kaizer waje hapa tuwasikie
 
Vitabu vimesema, "mzinifu atamuoa/ataolewa na mzinifu mwenzake". Cheaters (wazinifu) wanajuana na kuvumiliana.
Kama anecdote tu, ninakumbuka katika riwaya moja, bwana na bibi wanaenda kuzini, wakirejea waningia chooni kukoga, kubwa watakumbushana tu, "Usimalize maji yote, nibakishie na mimi".
Kama wewe hucheat na umegundua kuwa umecheatiwa nadhani unajua la kufanya.

Haaahaaaa! No comment!
 
Mussa na Farao wote walikuwa binadamu ambao waliumbwa na Mungu huyo huyo mmoja.
Well said Bishanga. But they were unique in their deeds. Kila mtu alikuwa na maajabu yake. And the world has never stopped seeing wonders ever since
 
Well said Bishanga. But they were unique in their deeds. Kila mtu alikuwa na maajabu yake. And the world has never stopped seeing wonders ever since
great thinking Ndahani,thanks
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom