Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

Inamcost mke wa mtu shs 80,000 kunifata na kwa kweli akifika ni full dose apae thamani ya pesa anayotumia!

sasa ndugu yangu hako ka 80 thou ndo dau lako ili utoe huduma,au?
Hahahaha Bishanga hapa unawezadraw rule nyingine kuwa............Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao, hawaruhusiwi kuomba pesa za kwenda kutumbua na small houses zao from their husbands (Kuepusha maswali ya ni pesa za kufanyia nini)
Lol ...........The Devil's Advocate.............................. Bwana Bishanga imenibidi nirudi kidate kimegoma hahahah
 
Hahahaha Bishanga hapa unawezadraw rule nyongine kuwa............Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao, hawaruhusiwi kuomba pesa za kwenda kutumbua na small houses zao from their husbanda (Kuepusha maswali ya ni pesa za kufanyia nini)
Lol ...........The Devil's Advocate.............................. Bwana Bishanga imenibidi nirudi kidate kimegoma hahahah
mmmhhhh si umesema ni wako wa 'halali'?
Hii ya vijana kutoa huduma kwa pesa itakuja tu bongo,we subiri,na utandawazi huu,maana kwa watasha madanguro ya aina hii yapo.
 
Kuna wake za watu ambao, for some reasons, wanaamua kutembea nje ya ndoa.Si nia yangu kuwahukumu,lakini ili 'wasiharikiwe' kwenye ndoa zao,natoa hili angalizo.Yote haya ni katika kubalansi maana Mkuu The Boss yeye alikwishatoa angalizo kwa kinababa wenye nyumba ndogo.Naamini bandiko lile limesaidia wengi.Tuanze basi:

Rule no 1: Avoid viserengeti boys,viropokaji hivyo,kazi kujishebedua vijiweni kuwa vina sugamami.Vitaishia kukuchuna tu.Tembea na mtu mzima.

Rule no 2: Ikitokea ukashika mimba ya huyo hawara,tunza siri na dhibiti hasira,yuko mama mmoja in a heated moment alimwambia mmewe..'we nae mwanaume wa kuzaa na mimi' jamaa alimpiga kisu.

Rule no 3: Avoid kabisa mashoga zako,hata awe wa karibu vipi,kujua kuwa una hawara.Mkikosana naye breki ya kwanza itakuwa kwa mmeo.For that matter hata nduguzo wasijue.

Rule no 4: Ukiweza tumia kondom ingawa ni mtihani kwa mtu mnayekuwa naye muda mrefu.

Rule no 5:Usiwe na wivu wa kupindukia kwa hawara yako.Nshawahi kushuhudia mke wa mtu anakwenda kumfumania hawara yake,aliishia kupigana na kuswekwa polisi kijitonyama mabatini,imagine mmewe alipofika kituoni kuuliza kulikoni.

Rule no 6: Hata unogewe vipi na midundo ya hawara,usi criticise performance ya mmeo kitandani,utamuua kisaikolojia.Wewe endelea na kamtindo kako ka aaarg..iiiihhh...unaniua....

Rule no 7:Hata siku moja usipande gari moja na hawara yako,macho mengi mjini hapa.For that matter na gesti/hoteli usiziamini sana.

Rule no 8: Hawara yako kama ameoa,hata kama anamdharau vipi mkewe usimwamini,anajipendekeza tu kwako,avoid kabisa mkewe asijue.Ishawahi kutokea mke yuko sebuleni na mumewe ghafla akatinga mwanamke akamnyooshea mme kidole na kumwambia ...'mwambie mkeo aache kutembea na mme wangu'.

Rule no 9:Kula lakini mbakishie na mmeo,sio ukirudi kila siku ni nyimbo za kichwa kinauma.Na usibadili ratiba ya kurudi nyumbani.

Rule no 10: Kama hawara yako ana ukwasi akikuhonga vitu vikubwa jitahidi mmeo asijue,maana atashangaa unapata wapi pesa.Ukijengewa nyumba ndo kabisaaaa hati ficha mbali asiione.

Wakuu ongezeni na mipweint mingine hapa ili tuwasaidie mamemba wenzetu wazidi kula keki wakati wanaendelea kuwa nayo mkononi.

Devil at work. Ushindwe kwa JINA la YESU. Ndo nini hii kuwafundisha watu kufanya ushetani huu?
 
We Komesha utadhani umepewa consultancy contract na lucifer yaani unawafundisha wake za watu namna bora zaidi ya kuzini.fanya booking ya kiti jehanamu
kumbe jehanam kuna viti,aisee,sikujua, you been there before Madaraka?
 
eee bana eee leo!
Hizi comments kwenye thread ya The Boss ya 'nyumba ndogo' mbona sikuziona? Au mwanaume kuwa na nyumba ndogo Mungu karuhusu? Yaani hii mifume dume hii,haya bana Alleluhya,Bwana asifiwe sana!

Hapana mkuu hata hiyo ni ushetani na MUNGU haruhusu. Biblia inasema katika Mithali 6:32:

MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA; AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE
ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA .

Pia waweza kusoma sura yote ya Mithali 5 utaona Biblia inayomusihi mwanamme kujieusha na wanawke wengine na aridhike na mke wake. Kwa mfano mstari wa 17-20 inasema:-

Proverbs 5 (Amplified Bible (AMP)


[SUP]17[/SUP][Confine yourself to your own wife] let your children be for you alone, and not the children of strangers with you.
[SUP]
18
[/SUP]Let your fountain [of human life] be blessed [with the rewards of fidelity], and rejoice in the wife of your youth.

[SUP]
19
[/SUP]Let her be as the loving hind and pleasant doe [tender, gentle, attractive]--let her bosom satisfy you at all times, and always be transported with delight in her love.
[SUP]
20
[/SUP]Why should you, my son, be infatuated with a loose woman, embrace the bosom of an outsider, and go astray?
 
rmashauri...........what do the scriptures say when one commits adultery?

Bishanga............napomaanisha financing ni full; na condom za nini wakati mie nataka kummimbisha? (Tushazingatia vigezo vote kiafya........msininyuke na mawe) kumbuke ni hii ni very selective choice, so am going the whole nine yards!
 
Bishanga huna lolote hapa umeamua kutoa siri za wadada, ulinzi utaongezeka sasa, usijewakosesha raha kina Darlingtone maana ili kulinda Klorokwini itabidi awe benet na mamsap.......atamwona nyumba ndogo saa ngapi?

Kaazi wkeli kweli (Hivi hii ni cent ya ngapi vile Bishanga?)

nimeamua kwa moyo mmoja kuanzia leo nimejivua ugamba wa mfumo dume,mi na mfumo jike tu as of today!

Cent ya ngapi? Sijaelewa dear?
 
inaruhusiwa mwali wewe, mbona mie la'aziz wangu nampa hela ya kuhonga? manake akijiinamia tu namuuliza vipi kipenzi,akisema kauwawa mambo ya laki si pesa yanatembea. mara utaskia naenda kunyoa (hesabu masaa 3). kwa raha zake. na mie ntampiga mzinga kulipia kodi small house. ukiua kwa upanga mwenzangu wakikupiga risasi shukuru mungu,lol
Hahahaha Bishanga hapa unawezadraw rule nyingine kuwa............Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao, hawaruhusiwi kuomba pesa za kwenda kutumbua na small houses zao from their husbands (Kuepusha maswali ya ni pesa za kufanyia nini)
Lol ...........The Devil's Advocate.............................. Bwana Bishanga imenibidi nirudi kidate kimegoma hahahah
 
hapana mkuu hata hiyo ni ushetani na mungu haruhusu. Biblia inasema katika mithali 6:32:

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
atapata jeraha na kuvunjiwa heshima wala fedheha yake haitafutika .

pia waweza kusoma sura yote ya mithali 5 utaona biblia inayomusihi mwanamme kujieusha na wanawke wengine na aridhike na mke wake. Kwa mfano mstari wa 17-20 inasema:-

proverbs 5 (amplified bible (amp)


[sup]17[/sup][confine yourself to your own wife] let your children be for you alone, and not the children of strangers with you.
[sup]
18
[/sup]let your fountain [of human life] be blessed [with the rewards of fidelity], and rejoice in the wife of your youth.

[sup]
19
[/sup]let her be as the loving hind and pleasant doe [tender, gentle, attractive]--let her bosom satisfy you at all times, and always be transported with delight in her love.
[sup]
20
[/sup]why should you, my son, be infatuated with a loose woman, embrace the bosom of an outsider, and go astray?
eimen!
 
rmashauri...........what do the scriptures say when one commits adultery?

Bishanga............napomaanisha financing ni full; na condom za nini wakati mie nataka kummimbisha? (Tushazingatia vigezo vote kiafya........msininyuke na mawe) kumbuke ni hii ni very selective choice, so am going the whole nine yards!
Mkuu biashara ni matangazo,lakini hata tangazo la sigara si linasema tuchukue tahadhari cigarrete kills!
 
Back
Top Bottom