Mke wa mtu ukiamua kutembea nje ya ndoa.....do's and don'ts

posa mpelekee babu yenu Aspirin ikishindikana mzee DC,Kloro anaweza akaifisadi,simwamini.

Bishanga wewe ni mchokozi sana,

Yaani umeamua kuwarusha watu roho kiasi hiki....lol!!

Wambie vijana wajiandae na maisha (with informed mind)....Kuna jamaa alinambia hivi...."Omwana ashwele/lwe"...Utanioa tafsiri siku nyingine sawa bwana???
 
Pamoja na ugumu wa mijadala ya week hii, naanza kuamini kuwa MMU will be a great change agent very soon!

Nimeichukulia hii mijadala positively (sorry walioguswa sana na hata kuhisi kuumizwa), na naamini ni jambo jema sana kuanza kuongea mambo ambayo kwa muda mrefu tumekuwa tukiyaogopa kama ukoma!! Mwanzoni tutahisi kuumia ila with time tutaweza kuongea vizuri tu...!!

Enzi hizo tulipoanza kuongea ABC za HIV/AIDS, kuna watu walituona kama vichaa hadi wengine tulikaribia kupigwa mawe. Hata ex-PM Sumaye aliposema kuwa watoto wake wakirudi shule baada ya likizo anawapa kondomu, kuna watu walitaka kumuua! Lakini sasa vijana wanaziongea hizo ABC kana kwamba tumekuwa nazo toka mwaka 0 AD!

Kwa wale waliokwazika pole sana na wale waliotoa mawazo yao na ushuhuda nawapongeza pia. Kwa vile jukwaa lenyewe linahusu mambo haya ya MMU, naamini ni mahali pake (siyo kama Mzee Ruksa alieyeenda Msikitini kuongelea kondomu hadi akapewa chai!)!! Hata hivyo ningeshauri mijadala kama hii next time iwe sober zaidi na kupunguza unazi!

Babu DC (1947)!!
 
Mkuu DC,naomba nikushukuru kwa hitimisho hili.Umemaliza kila kitu,iliyobakia kila mtu akili mukichwa.
Kwa heshima na taadhina na shukrani kwa Mkuu DC as of now nina sign off kuchangia kwenye huu uzi.
niliowakwaza naomba mnisamehe,mlio learn a thing or two liwasaidie,mliocheka hongereni kwa ku relax

ciao,adios amigo!!!!!!!!
 
Naona kuna watu uliwavalia njuga week hii yote..

Anyway..ni vijimambo tu!
 
Just before I log out: This thread is encouraging a bad behavior. Sioni kuna ujanja gani kupeana shauri of how to cheat efficiently, iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke. I am married, I don't cheat and I don't need these advises. give me advises on how to improve my relation with my man and mtaniona nachangia.

big up na Mungu akujalie ndoa yako idumu usifuate mkumbo wa hawa cheaters
 
Just before I log out: This thread is encouraging a bad behavior. Sioni kuna ujanja gani kupeana shauri of how to cheat efficiently, iwe kwa mwanaume au kwa mwanamke. I am married, I don't cheat and I don't need these advises. give me advises on how to improve my relation with my man and mtaniona nachangia.
You are vere smart ma dia
 
If u r married woman and a married man wants u just tell him this:-
''my dear u r married and am married and u feel u really wants me i promise i will give 2 u whatever u want just do one thing 4 me, allow your wife 2 sleep with my husband."
u will c how he will act.nakuambia atakoma kukusumbua.
And if a single guy wants u and he really knws u r married just tell him this:-
my dear just go ask my husband 2 allow you and i will give 2 u.

Haya ni maneno ya kijasiri sana!

bahati mbaya huwezi yatoa haya kama umeshaingia kwenye 18! Penati bila golikipa! hahahahaha wacaha hii maneno weye!
 
Duu sikujua kama JF imejaaa Wazinzi kiasi hiki!!!!!

All those tricks aimed at cheating our partners!

Mkuu mbona wezi na wazinzi huwa hawajitangazi???

Sijawahi kuona mtu anaweka publicly udhaifu wake.....If you tried to viewed it from a different angle, may be,....and I say may be, you could learn something. I for one learned alot!!

Babu DC!!
 
mie waliwahi kugongana kwenye chumba changu cha kuDEMUlia halafu wote hao ni wake za watu na wanajuana basi hakuna aliyethubutu kurusha ngumi,sasa hivi ni marafiki kupita maelezo. Na log off
Eee wewe kweli ni Washawasha
 
Back
Top Bottom