MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Nilikuwa na dem, hakuniambia ni mke wa mtu, akabeba mimba akazaa, yupo na mme wake lakini anataka niwe natoa pesa za matumizi ya mtoto na anang'ang'ania eti mtoto ni wangu. Wakati huo huo huyo mme wake anajua mtoto ni wa kwake pia. Ananisumbua sana nifanyeje?

Na pia huwa ikitokea mtoto anaumwa lazima anitaarifu na kudai hela ya matibabu wakati anajua kuwa anaishi na mme wake anayemlea mtoto huyo. Nipeni ushauri please!
Huyo mumeo unamfahamu?
mkuu badili line mmewe akijua huu mkasa anaweza akazaa na wewe
Mwambie unahitaji kufanya kikao, wewe, yeye na mumewe ili mmalize mzozo wa mtoto