Mke wa mtu ni sumu

Mwanaume ndo anayelipa mahari hvyo mke ni Mali yake, kitendo cha kufunga ndoa ni mwanaume kujitangazia uma kwamba "mke ni Mali yake kihalali"
 
Kumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....

SWALI: Kwani "mume wa mtu" si sumu?
dawa yake maziwa. matafune kisha kunywa maziwa lita 5. Sumu yote nje
 
Mwanaume ndo anayelipa mahari hvyo mke ni Mali yake, kitendo cha kufunga ndoa ni mwanaume kujitangazia uma kwamba "mke ni Mali yake kihalali"
Je kwa jamii ambazo wanawake nao wanatoa mahali inakuwaje
 
Kumekuwa na kauli itumikayo ktk jamii kwamba "mke wa mtu ni sumu" ikimaanisha kuwa kujihusisha "KIMAPENZI" na mke wa mtu ni HATARI sawa kama mtu "alobwia" sumu ....

SWALI: Kwani "mume wa mtu" si sumu?
Kuweni makini
 
Hahaha
 
Acha vitisho dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…