Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

Hakuna matumizi kule zaid ya penzi na huenda ukawa unapatiwa na fedha
 
Kama ni ngumu kutoka, mbona wewe umetoka, itakua hujawahi kunywa mirinda nyeusi wewe, hii ukionja hakuna namna ya kutoka.
 
Hii imakaaje,... Nilishawahi kufanya hii dhambi,.. Nashukuru nimeweza kujinasua kwenye hili tatizo, maana ukishaingia huku, kutoka ni Kazi kweli kweli.... Mke wa mtu anakuwaga mtamu saaana halafu penzi lake ni matata na halichoshi....inasababishwa na nini hii kitu...
Ndiyo maana nampenda sana mke wangu, ni kweli mke wa mtu ni mtamu
 
Hii imakaaje,... Nilishawahi kufanya hii dhambi,.. Nashukuru nimeweza kujinasua kwenye hili tatizo, maana ukishaingia huku, kutoka ni Kazi kweli kweli.... Mke wa mtu anakuwaga mtamu saaana halafu penzi lake ni matata na halichoshi....inasababishwa na nini hii kitu...
Ukisha owa basi utajuwa kwa nini mke wa mtu mtamu
 
Sio suala la utamu hapo ni suala la kupiga bure bure tuuuu ndo linahalalosha huo utamu,angekua anakudai kodi na mambo mengine ungemuona nuksi sanaaa
 
Kachaguliwa kwa umakini na usaili wa mchaguaji na wengi walipigwa chini kwenye usaili na ubora ukapatikana.
 
Siku ukija nawe pigwa machine ndo utagundua kwanini mke wa mtu mtamu
Hahahaaaa... Nimeacha mkuu... Najua sio powa... Ndio maana nikasema, kujiondoa huko unahitaji sala... Maana kutamu
 
Back
Top Bottom