ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,682
- 16,254
Duu wengine tunaogopa wake za watu,wewe unataka kuendelea kuwala... hakyanani utauawa au utadhalilishwa na uaibike vubaya sana.Kila la heri,sisi ngoja tuendelee kuwala ambao hawajaolewa,na ni wengi sana,sema ndo hivyo,kwenye dunia ya demokeasia kila mtu anataka afe nanini.