Mke wa mtu kuwa na Rafiki wa kiume

Tumeumbwa tofauti sana sana.
Huo urafiki ni mgumu sana sana.
Mm sijapewa uwezo wa kumvumilia mwanamke yan atalika tu hata bila kutongozwa.
 
Naona watu wengi wameandika ila mii naomba nitoe USHAURI wangu kama ifuatavyo;

1. Tatizo hapo ni simu, hivyo usimame kama Mwanamme Ushuhulikie tatizo la simu na sio mengingineyo
2. unaweza kuchukua hatua kama kupiga marufuku kwa huyo mwanamke wako kuongea na hao wanaume na kama sijui ni shemeji yake ni marufuku shemeji kumpigia simu kwa simu za watu; Huyo shemeji akitaka kuongea naye atumie simu ya mzazi wake au ndugu yake unayemfaham; akiwa na udhuru atume tafadhali nipigie waifu ampigie au atumie simu yako kumpigia.
3. Huyo mkeo inaonekana hayuko busy ndio sababu anakuwa na muda mchafu wa kufikiria wanaume.
i. kama unaweza mfungulie hata kigenge/kibanda ili awe bize
ii. kama ana house girl fanya mpango aondoke kwa muda ili awe bize
4. Onyesha kuwa umekasirishwa na hicho kitendo chake ikiwemo kuacha unyumba kwa muda (ukiweza)
5. Tatizo lako linaweza kupata muafaka na kulimaliza hivyo usiwazie mambo ya TALAKA eti kwa sababu ya simu. Chukua hatua ya kukomesha matumizi ya simu

Mwisho; matatizo mazito ya Familia hayataki hasira wala maamuzi ya haraka haraka.
Muoneshe kuwa umekasirika ila sio kwa kufoka kupitiliza

Mkuuu ni sawa mkuuu ushauri wako umeenda shule
 
Ha ha rafiki yangu aliniambia hawezi kunipa ****, hata iweje na kweli bana baada kujaribu sana kumla kwa njia zote sijawahi kufanikiwa na baada ya kunipa ndugu yake ndio nikaamini kweli hawezi kunipa...hivyo urafiki bila kulana inategemea sana na msimamo wa mwanamke
 
Mwambie rafiki yako nae awe rafiki kwa mpenzi wake. Wanawake wanapenda wapenzi rafiki
 
Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke upo,ninao marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike na sitarajii kuliwa na rafiki yangu yoyote wa kiume...i mean suala la kuliwa halipo

Najua haters watasema itakuwa sivutii...kwa taarifa yenu navutia,sema sivutii kiviiile ila navutia

Urafiki utabaki kuwa urafiki kama mmoja kati ya wawili atakuwa na msimamo wa urafiki
Huvutii kivile ila unavutia utamu utamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom