Isije ikawa subject ni wewe mwenyewe unatucheza akili!!! We endelea tu kama hujatolewa macho.Habari za majukumu watu wangu wa nguvu, natumaini mnaendelea vzr na ujenzi wa kujenga Taifa letu la Tanzania, leo nimekuja na huu mkasa ambao umemtokea rafiki yangu wa karibu hivyo nikaona nije nipate busara zenu na kuweza kwenda kumshauri kwa kina zaidi.
Huyu jamaa yangu anafanya kazi katika sekta moja ya serikali hana mke na pia hajabahatika kupata mtoto ila kulingana na umri bado unaruhusu siwezi kumlaumu, huyu jamaa yangu alipewa namba na rafiki yake m1 ambaye yeye ni daktari katika hospitali moja hapa mjini, baada ya kupatiwa namba hiyo nia na madhumu ilikuwa ni kufanya mipango ya kuweza kuvunja amri ya sita na bi mdada ambaye namba yake imetolewa kwa kisingizio kwamba bi mdada huyo ni lose ball au maarufu kama maharage ya Mbeya lakini kabla hajapewa namba hiyo akaambiwa kwamba bi mdada huyo ni mke wa mtu pia ana watoto wa2 na mume wake anafanya kazi bandarini kwaiyo awe makini, basi jamaa akaichukua ile namba na kuanza mazungumzo na Yule bi mdada kwa bahati nzuri au mbaya Yule bi mdada akamuelewa huyu rafiki wangu na kupanga waonane siku ya weekend ambayo ilikuwa Jumamosi kwani huyo bi mdada ni daktari kwaiyo siku hiyo alikuwa anatoka usiku, basi siku ya siku ilivyowadia wakaonana na kukaa mahali wakala wakanywa na mwishowe jamaa aliforce king na kwenda kumgegeda mke wa mtu huyo baada ya hapo asubuhi waliamka na kila m2 akaenda kwake ila siku hiyo huyo bi mdada alimuaga mume wake kwamba atatoka asubuhi.
Maisha yakawa yanaenda na ule mchezo ukawanogea mpk ss jamaa ameshamgegeda zaidi ya mara tano na huyo mwanamke amekolea kwa huyu rafiki yangu huyu mpk inafika kipindi anaona wivu wa ajabu endapo akiwa na jamaa na simu zikiwa zinaingia, mwanamke amemwambia jamaa tatizo la mume wake kubwa ni upungufu wa nguvu za kiume kwani anasaga mirungi sana na kutumia kilevi cha aina ya pombe hivyo yupo katika dozi ya kuacha na alikuwa ana zaidi ya miezi mitatu hawajakutana na mpk ninavyoongea hivi ss huyo mke wa mtu anamsumbua jamaa kwamba anataka wknd hii wakajifiche Bmoyo siku tatu kwani tyr ameshamwmbia mume wake kwamba anasafari ya Bmoyo
Picha halisi ndio hiyo hapo, nahitaji USHAURI pamoja na MAWAZO yenu katika hili kwani hata yy mwenyewe anajishtukia icje ikaja kufanyiwa mchezo mbaya au kutolewa jicho kwani mke wa mtu ni sumu na mm pia nilijaribu kumshauri aachane nae
WOTE MNAKARIBISHWA KUCHANGIA, MATUSI na KEJELI hazitakiwi katika UZI huu..
Habari za majukumu watu wangu wa nguvu, natumaini mnaendelea vzr na ujenzi wa kujenga Taifa letu la Tanzania, leo nimekuja na huu mkasa ambao umemtokea rafiki yangu wa karibu hivyo nikaona nije nipate busara zenu na kuweza kwenda kumshauri kwa kina zaidi.
Huyu jamaa yangu anafanya kazi katika sekta moja ya serikali hana mke na pia hajabahatika kupata mtoto ila kulingana na umri bado unaruhusu siwezi kumlaumu, huyu jamaa yangu alipewa namba na rafiki yake m1 ambaye yeye ni daktari katika hospitali moja hapa mjini, baada ya kupatiwa namba hiyo nia na madhumu ilikuwa ni kufanya mipango ya kuweza kuvunja amri ya sita na bi mdada ambaye namba yake imetolewa kwa kisingizio kwamba bi mdada huyo ni lose ball au maarufu kama maharage ya Mbeya lakini kabla hajapewa namba hiyo akaambiwa kwamba bi mdada huyo ni mke wa mtu pia ana watoto wa2 na mume wake anafanya kazi bandarini kwaiyo awe makini, basi jamaa akaichukua ile namba na kuanza mazungumzo na Yule bi mdada kwa bahati nzuri au mbaya Yule bi mdada akamuelewa huyu rafiki wangu na kupanga waonane siku ya weekend ambayo ilikuwa Jumamosi kwani huyo bi mdada ni daktari kwaiyo siku hiyo alikuwa anatoka usiku, basi siku ya siku ilivyowadia wakaonana na kukaa mahali wakala wakanywa na mwishowe jamaa aliforce king na kwenda kumgegeda mke wa mtu huyo baada ya hapo asubuhi waliamka na kila m2 akaenda kwake ila siku hiyo huyo bi mdada alimuaga mume wake kwamba atatoka asubuhi.
Maisha yakawa yanaenda na ule mchezo ukawanogea mpk ss jamaa ameshamgegeda zaidi ya mara tano na huyo mwanamke amekolea kwa huyu rafiki yangu huyu mpk inafika kipindi anaona wivu wa ajabu endapo akiwa na jamaa na simu zikiwa zinaingia, mwanamke amemwambia jamaa tatizo la mume wake kubwa ni upungufu wa nguvu za kiume kwani anasaga mirungi sana na kutumia kilevi cha aina ya pombe hivyo yupo katika dozi ya kuacha na alikuwa ana zaidi ya miezi mitatu hawajakutana na mpk ninavyoongea hivi ss huyo mke wa mtu anamsumbua jamaa kwamba anataka wknd hii wakajifiche Bmoyo siku tatu kwani tyr ameshamwmbia mume wake kwamba anasafari ya Bmoyo
Picha halisi ndio hiyo hapo, nahitaji USHAURI pamoja na MAWAZO yenu katika hili kwani hata yy mwenyewe anajishtukia icje ikaja kufanyiwa mchezo mbaya au kutolewa jicho kwani mke wa mtu ni sumu na mm pia nilijaribu kumshauri aachane nae
WOTE MNAKARIBISHWA KUCHANGIA, MATUSI na KEJELI hazitakiwi katika UZI huu..
Nashukuru kwa ushauri Gilo24,.nitafikisha hilo, wengine mnakaribishwa pia kuchangia..
Nishamjua huyu jamaa yako (kama ulivyojifanya kusema) ni muuza madawa ya binadamu mahali flani kuleeeeee uzunguni, ako very interesting jamaa anavyowatafuna wake za watu. Siku inakuja watamkata na korodani na vile apenda manzi wa enzakeHabari za majukumu watu wangu wa nguvu, natumaini mnaendelea vzr na ujenzi wa kujenga Taifa letu la Tanzania, leo nimekuja na huu mkasa ambao umemtokea rafiki yangu wa karibu hivyo nikaona nije nipate busara zenu na kuweza kwenda kumshauri kwa kina zaidi.
Huyu jamaa yangu anafanya kazi katika sekta moja ya serikali hana mke na pia hajabahatika kupata mtoto ila kulingana na umri bado unaruhusu siwezi kumlaumu, huyu jamaa yangu alipewa namba na rafiki yake m1 ambaye yeye ni daktari katika hospitali moja hapa mjini, baada ya kupatiwa namba hiyo nia na madhumu ilikuwa ni kufanya mipango ya kuweza kuvunja amri ya sita na bi mdada ambaye namba yake imetolewa kwa kisingizio kwamba bi mdada huyo ni lose ball au maarufu kama maharage ya Mbeya lakini kabla hajapewa namba hiyo akaambiwa kwamba bi mdada huyo ni mke wa mtu pia ana watoto wa2 na mume wake anafanya kazi bandarini kwaiyo awe makini, basi jamaa akaichukua ile namba na kuanza mazungumzo na Yule bi mdada kwa bahati nzuri au mbaya Yule bi mdada akamuelewa huyu rafiki wangu na kupanga waonane siku ya weekend ambayo ilikuwa Jumamosi kwani huyo bi mdada ni daktari kwaiyo siku hiyo alikuwa anatoka usiku, basi siku ya siku ilivyowadia wakaonana na kukaa mahali wakala wakanywa na mwishowe jamaa aliforce king na kwenda kumgegeda mke wa mtu huyo baada ya hapo asubuhi waliamka na kila m2 akaenda kwake ila siku hiyo huyo bi mdada alimuaga mume wake kwamba atatoka asubuhi.
Maisha yakawa yanaenda na ule mchezo ukawanogea mpk ss jamaa ameshamgegeda zaidi ya mara tano na huyo mwanamke amekolea kwa huyu rafiki yangu huyu mpk inafika kipindi anaona wivu wa ajabu endapo akiwa na jamaa na simu zikiwa zinaingia, mwanamke amemwambia jamaa tatizo la mume wake kubwa ni upungufu wa nguvu za kiume kwani anasaga mirungi sana na kutumia kilevi cha aina ya pombe hivyo yupo katika dozi ya kuacha na alikuwa ana zaidi ya miezi mitatu hawajakutana na mpk ninavyoongea hivi ss huyo mke wa mtu anamsumbua jamaa kwamba anataka wknd hii wakajifiche Bmoyo siku tatu kwani tyr ameshamwmbia mume wake kwamba anasafari ya Bmoyo
Picha halisi ndio hiyo hapo, nahitaji USHAURI pamoja na MAWAZO yenu katika hili kwani hata yy mwenyewe anajishtukia icje ikaja kufanyiwa mchezo mbaya au kutolewa jicho kwani mke wa mtu ni sumu na mm pia nilijaribu kumshauri aachane nae
WOTE MNAKARIBISHWA KUCHANGIA, MATUSI na KEJELI hazitakiwi katika UZI huu..
Mbona unanitaja sana? Kuna ujumbe unataka kufikisha?
Hapo mwenye matatizo ni huyo rafiki yako. Huwezi kumlaumu huyo mama kua kakolea ,sababu huyo rafikiyo kamtafuta mdada kwa kupewa maelekezo tu kuwa ni maharage ya mbeya. Akumbuke kua huo sio ujanja what goes around comes around malipo hapahapa duniani nae atatendwa tu wakati fulani tena atakua amesahau aliyowahi kutenda tena itamuuma sana kumbuka mtenda akitendewa hudhani kaonewa. Ukimwi utaisha jamani kwa hali hii , ushaambiwa ni mke wa mtu unatafuta nini si tabia chafu tu na laana inamsumbua. Yaani kama kweli ni rafiki yako mwambie huo sio ujanja anajilaaanisha na magonjwa yasiyo na tiba yanamsubiri.
Kama mke ana ukimwi basi na yeye anaupata, unataka ushauri kwani yeye na utu uzima si anajua anachofanya au? Tena nitakataka ya wengi mmmmhhh anapewa pesa huyo.
We umeshindwa kumwambia neno moja tu amwache je na wengi wakikwambia aendelee naye nawe utamshauri hivyo? vitu vingine havihitaji mawazo ya wengi, halafu kama sikosei we ndo uliekuwa unakuja na mada zako za kukataliwa na wasichana hukidai mademu wa kibongo wa shamba naona umeamua kuhamia airtel
waume za watu watimize wajibu wao kwa wake zao kwenye kila setka kwa kila namna..