mke wa mtu hanihongi tena

Ili nisipigwe ban hapa naomba nikutukane kupitia PM nenda kaangalie, unaleta ujinga ambao hauna manufaa yoyota
 
mshitaki kwa mumewe kwamba hakulipi pesa zako za huduma ya ngono unayompatia....
 
siwezi kuacha kuhongwa napenda raha sana hasa na mke wa mtu

Mkuu utakuja kupumuliwa kisogoni maana saa zingine mtu aweza kujiona anaenda sawa sawa kumbe amepotoka..ila umenisikitisha sasa mtoto wa kiume unashindwa kujishughulisha Mungu akakusaidia kutoka kwenue husle zako hivi hizi ni dhiki au tamaa ya kupenda vitu vilivyozidi uwezo?..swali la kizushi tu hilo..!!
 
Kwa kuwa si ruhusa kutukana hadharani hapa JF naomba kwa taadhima elewa tu nimekutukana tusi kubwa sana kimoyo moyo
Nimeipenda, natumia teckno nimeshindwa kugonga like
Ila nimekupa like kubwa. Jibu zuri sana na mimi pia nimemtukana tusi zito sana tena la ndani
 
Kwa kuwa si ruhusa kutukana hadharani hapa JF naomba kwa taadhima elewa tu nimekutukana tusi kubwa sana kimoyo moyo

Halifiki langu...hiki kitu kis$#@^#*#((!*&^&$%#&^*()(!!!!!!! kabisa
 
Ushayri gani tena nenda kapime tu umeinunua sanda kwa nguvu zako
 

Wenzako wenye kazi hizo majuu huwa hawachagui, wakikosa wanawake wanastarehesha wanaume wenzao, unangoja nini?
 
Hebu m-PM hilo tusi akutane nalo huko huko kwenye in box yake


Kwa kuwa si ruhusa kutukana hadharani hapa JF naomba kwa taadhima elewa tu nimekutukana tusi kubwa sana kimoyo moyo
 
Eti "Wadau" nani mdau sasa hapa!!!! Vitoto vingine asee ni majanga (though najua unatupima akili tu hauko serious)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…