molely molly
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 317
- 30
Jamani naombeni ushauri, kuna mke wa mtu ametokea kushindwa kuzizuia hisia zake na kujikuta akinipenda na kunitaka kimapenzi. Nimejitahid sana kumpangua lakini hataki kunielewa kabisa na mpaka anatishia kujiua au kumwambia mme wake kwamba namlazimisha mapenzi endapo sitamruhusu kutembea nae! "Yeye ni mke wa mtumishi wa serikali tunaishi karibu na nnapoishi kwa kaka angu, Mme wake yupo masomoni, na mimi hapa nilipo npo masomoni" kiukwel anansumbua sana kwani naogopa sana kuvunja amri ya Mungu. Mbaya zaid aniambia eti alikosea chaguo kwa mmewe ikibidi mie ndo niwe wake wa maisha! Jaman naomben ushauri kutoka kwenu wa kunijenga mana masømo nayo yananiandama. Ahsante!
chezea bahati kufa kupo ushauri wa kijinga ndo mzuri raha jipe mwenyewe kaka chimba manta!!!!!!!!