Mke wa mtu aning’ang’ania

Mshitaki kwa mumewe
 
umevunja yako unataka kuvunja na za wengine ?
 
naomba ushauri .Tumependana na huyu dada mno.siwezi kumuacha

Fanya hivi...mpe mimba huyo mke wa mtu ndiyo short cut pekee ya kufikia lengo lako....humu watu wengi wanakuponda ni wanafiki tu hawana lolote
 
Mnaelewana kwa kuwa yupo nje, akiingia ndani atakuwa sawa na wa mwanzo.

Mwache atunze familia yake.
 
We sema anakung'ang'ania tu...... Siku mumewe akijua umekwisha badala ya gunia mbili za mkaa kwako zitawekwa tano hata meno hayatobakia
 
I co-sign 💯%.
 
We sema anakung'ang'ania tu...... Siku mumewe akijua umekwisha badala ya gunia mbili za mkaa kwako zitawekwa tano hata meno hayatobakia

nishamtambulisha kwao na yeye kashanitambulisha ukweeni.kilichobaki ni mapinduzi tu kwa mume wake.Koloni nishalitawala
 
naomba ushauri .Tumependana na huyu dada mno.siwezi kumuacha
Kama ataweza kumwacha mume wake na aje kwako basi na wewe jiandae kuachwa ts only the matter of time..
Pia kama ulivyomwacha mke wako basi nayeye ajiandae ts only the matter of time. Kwa mazingia mliyopitia hakuna atakaye chukulia serious mahusiano yenu..

Just be a bigger man urudiane na mkeo kama unataka furaha ya muda mrefu.
 
nishamtambulisha kwao na yeye kashanitambulisha ukweeni.kilichobaki ni mapinduzi tu kwa mume wake.Koloni nishalitawala
Wewe unautani unachukulia hilo jambo kiwepesi unaweza kufa hujui huyo mumewe atalipokeaje hilo jambo na atapanga kukufanyia nini ni hatari mkuu.
 
Fanya hivi...mpe mimba huyo mke wa mtu ndiyo short cut pekee ya kufikia lengo lako....humu watu wengi wanakuponda ni wanafiki tu hawana lolote

Asante kwa ushauri wako mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…