badala ya kumpa ushauri mnaanza kumtisha... kuna uzi ulianzishwa apa kuhusu kama umewahi kucheat ktk mahusiano jibu kila mtu anajua hakuna aliyesema hajawai sasa mnashangaa nn!!! kwa mimi hii imekaa kistaarbu maana haitaleta shida kote kote maana ucku haman msg za ajabu kila mtu yuko kwake na wake labda ushaur ni tu kuzaa noma maana hiyo itaweza julikana unless muwe na huyo mume halisi mnafanana hata kwa mbali... cha msingi wote mna uwezo kwa iyo hapo mmeunganishwa na mapenz tu kwan hamjui jaman hata kama main matamu kuna cku utataman maharage!!!!
HahahaJamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.
Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto
🤣🤣Kuna wimbo mmoja ullimba hivi.
Mke wa mtu ni sumu
usijaribu chombezaaa
yatakuja yakutee usiyoyategemea
Nilivyochek jina lako tu nikatambua kua ww ni shetani la ukweli
Imagine ndio mke wako anachakachuliwa ungejisikiaje ww, ndugu yangu nakushauri achana kabisa na mambo hayo
wewe una mke nawe una ana mume yanini tena hayo jamani.Tuheshimu ndoa zetu jamani
Mbona una comment kwenye uzi wakoKama unaona sifa endelea tu, na siku nenda ukapigie home kwake ila vizia kama jamaa yake yuko town
Mtoto yupo form 3 sasa,anaendeleaje na shuleJamani mimi nime fall love na mke wa mtu. Ananipenda nami na mpenda sana sana. Mimi pia nimeoa. Uzuri mke wangu hajajua wala mume wake hajajua. Tumesha kaa miaka mi nne ya mapenzi yana ni full shangwe. Mume wake ana uwezo mzuri tu na hata mimi pia nina uwezo, hivyo namjali sana huyo dada. Kuna baadhi ya nguzu zake wanafahamu uhusiano wangu na ndugu yaho. Huwa kila siku lazima tukutane for breakfast, lunch na jioni for a drink au pia kuchakachuana. Kweli tunapendana, saa nyingine tunatumia gari moja tunapita mjini bila kuogopa. yeye ana watoto wa2 wa kike na mimi nina watoto wa2 wakiume hivyo anataka tuzae katoto ketu kamoja ili katuunganishe. Tayari tumeshakwenda pima na wote tuko safi kwani huko nyuma tulikuwa tunatumia kondomu lakini sasa hivi tunapiga kavu kavu hivyo malovee ndo yamepamba moto.
Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto
Una hatari sana mkuu..Naomba mnishauri kuhusu hili la kuzaa nae mtoto