Nitaongea kifupi japo ni stori ndefu, mwaka 2010 nikiwa form 4-6 Mtwango Sec, Njombe kuna mwanafunzi altokea kunipenda sana. Anavyonifata mimi alikuwa na mimba ya miezi miwili, mi sikumkataa nikajua labda ni mimba tu, basi nilijatahidi kuwa nae karibu ila kimapenzi nilkuwa namkwepa sana.
Siwezi kuficha jumapili moja akiwa na mimba ya miezi mitano wakati tunarudi kanisani nilijkuta njiani nimekula mzigo, toka siku ile nilianza kumpenda sana.Muda mwingine prepo tulikuwa wote hadi watu wakawa wanasema mimba ni yangu sikujali.
Mwezi wa 10 akiwa na mimba miezi 8 alimaliza salama form4 na kurudi kwao.
Tuliwasiliana kwa miezi mi 5 tukapoteza mawasiliano na hivi juzi tumeonana tena facebook kanitumia namba yake yaani ni stor na kuchati tu hadi sasahivi, anasema huu mwaka wa pili anaishi na yule jamaa (dereva) muhusika na mtoto wao japokuwa kwao mshkaji hatambuliki aliona maisha magumu akaenda mwenyewe.
Shida inakuja hapa huyu mwanamke anataka nimuoe anasema yeye hakumpenda huyo jamaa ni utoto na tamaa wanapishana miaka 8, kiukweli nampenda bado.
Wadau ushauri jamani