BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
Wewe kama ni mtaalamu wa kuwapa mimba mpe, lakini malipo ni hapahapa dunianiKuna dada mmoja nilisoma nae chuo miaka kadhaa iliyopita huko Moshi, ni rafiki yangu sana. Yeye bado yupo Moshi, mi niko Arusha.
Amekaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka mitano bila mtoto, wamezunguka sana kwa madaktari na waganga wa kienyeji bila mafanikio. Baada ya kwenda hospital mwanaume aliambiwa ana mbegu chache hivyo akapewa dawa lakini bado wameshindwa kupata mtoto.
Sasa Jumapili tulikutana, baada ya maongezi kidogo akachomekea "unaonaje nikikuzalia mtoto" mi nikacheka tu nikajua masihala lakini kadri mna unavyozidi kwenda nikaona kumbe yupo very serious.
Nikamwambia haoni kuwa ana risk ndoa yake, akasema mme wake hawezi kujua. Utamshawishi aende hospital wakienda wakipewa dawa baada tu ya kumaliza dawa ndio anakujua kuchukua mimba kwangu amwambie jamaa kapata mimba.
Kiukweli nimeogopa, mme wake anapesa sana. What if, alitoa kizazi ili apate utajiri kwahyo hata yeye anajua kuwa hana uwezo huo?
Kingine, yani niwe namuona kabisa yule ni mtoto wangu anaishi na baba mwingine? mbona nahisi ipo siku nitamdai
Wakubwa, karibu tubadilishane mawazo. Hii ni kweli kabisa
Duh copy and pest au?Duh we jamaa hii stori nimekuhadithia kijiweni ndiyo umeileta huku? Kwanza mi nilikua napitisha muda kijiweni stori siyo ya kweli wala nini
vipi simu yako imeacha kukuletea matangazo jamaaangu!!Duh copy and pest au?
Mkuu unatumia analog au digtal alafu inaonekana una udugu na shigongoKuna dada mmoja nilisoma nae chuo miaka kadhaa iliyopita huko Moshi, ni rafiki yangu sana. Yeye bado yupo Moshi, mi niko Arusha.
Amekaa katika ndoa kwa zaidi ya miaka mitano bila mtoto, wamezunguka sana kwa madaktari na waganga wa kienyeji bila mafanikio. Baada ya kwenda hospital mwanaume aliambiwa ana mbegu chache hivyo akapewa dawa lakini bado wameshindwa kupata mtoto.
Sasa Jumapili tulikutana, baada ya maongezi kidogo akachomekea "unaonaje nikikuzalia mtoto" mi nikacheka tu nikajua masihala lakini kadri mna unavyozidi kwenda nikaona kumbe yupo very serious.
Nikamwambia haoni kuwa ana risk ndoa yake, akasema mme wake hawezi kujua. Utamshawishi aende hospital wakienda wakipewa dawa baada tu ya kumaliza dawa ndio anakujua kuchukua mimba kwangu amwambie jamaa kapata mimba.
Kiukweli nimeogopa, mme wake anapesa sana. What if, alitoa kizazi ili apate utajiri kwahyo hata yeye anajua kuwa hana uwezo huo?
Kingine, yani niwe namuona kabisa yule ni mtoto wangu anaishi na baba mwingine? mbona nahisi ipo siku nitamdai
Wakubwa, karibu tubadilishane mawazo. Hii ni kweli kabisa
hahahaaMkuu unatumia analog au digtal alafu inaonekana una udugu na shigongo
Unawajua ke au unawasikia?muda ukifika hawana siriYaani mwanamke kabisa atoe Siri kama hiyo miye nakataa.
hahaaa wanakodishwa mpka kutundika mimbaWavulana wa mikoani katika ubora wao