Mke wa mtu ananitaka kimapenzi

Mke wa mtu ananitaka kimapenzi

ukitaka kumuweza ili akukimbie muombe ujiunge na extreme pack au mini kabang, halafu akikubali jua huo sio mzigo, ila ni :mad2:
 
Wadau, kuna dada mdogo hivi wa miaka 21 mke wa mtu ambaye hunisumbua akitaka kampani yangu hata kunitembelea weekend kwa kuwa mimi sijaoa. Mwanzoni alikuja kwangu kuomba ushauri juu ya manyanyaso anayofanyiwa na mumewe lakini sasa amefikia hatua ya kunitamkia wazi wazi kuwa anataka nitoke naye. Nilimwambia siwezi kutoa ushauri wa maana kuhusu ndoa wakati mimi mwenyewe sijaingia huko, nikamshauri awatafute watu wazima wao watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi kiushauri kuliko mimi. Nimekuja hapa kuomba ushauri namna ya kumuepuka maana tupo ofisi zinazopakana hivyo kuonana huwa mara kwa mara.

Bofya hapa....https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/529501-fumanizi-hili-guest-house-iringa.html
 
Achana nae kijana. Wake za watu hunogewa vibaya na mwisho huanza kuweka wivu wa kipuuzi na kukuzibia kwa supuus wengi.
 
kwa matukio ambayo nimeshuhudia ya wale walio toka na wake za watu; hata siku moja sita thubutu kujaribu kutoka na mke wa mtu, hata kwa mazingira gani.

Ushauri - Kaa mbali nae huyo mwanamke.
 
Mwambie NO. simple like that.

Ukitafuta vilugha laini laini ndo atazidi kuhamasika akijua unazuga kwanza.

Wadau, kuna dada mdogo hivi wa miaka 21 mke wa mtu ambaye hunisumbua akitaka kampani yangu hata kunitembelea weekend kwa kuwa mimi sijaoa. Mwanzoni alikuja kwangu kuomba ushauri juu ya manyanyaso anayofanyiwa na mumewe lakini sasa amefikia hatua ya kunitamkia wazi wazi kuwa anataka nitoke naye. Nilimwambia siwezi kutoa ushauri wa maana kuhusu ndoa wakati mimi mwenyewe sijaingia huko, nikamshauri awatafute watu wazima wao watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi kiushauri kuliko mimi. Nimekuja hapa kuomba ushauri namna ya kumuepuka maana tupo ofisi zinazopakana hivyo kuonana huwa mara kwa mara.
 
mpe mambo huyo.
Husninyo :rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez::rolleyez::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
Mkuu wewe bado kijana na una malengo yako na mipango yako mingi
Kama unajua kabisa huyo ni mke wa mtu anachofanya ni kukutengenezea mazingira ya wewe kulala nae na hilo liepuke kwa njia zozote na mweleze wazi hauko tayari na tena katisha mazoea ya yeye kuja kwako maana hilo ndio linalompa haki ya kukutamkia hayo
Mweleze wazi kabisa unaiheshimu ndoa yake na hauko tayari kuona wewe unakuwa chanzo cha yeye kuisaliti ndoa yake
 
Last edited by a moderator:
Wadau, kuna dada mdogo hivi wa miaka 21 mke wa mtu ambaye hunisumbua akitaka kampani yangu hata kunitembelea weekend kwa kuwa mimi sijaoa. Mwanzoni alikuja kwangu kuomba ushauri juu ya manyanyaso anayofanyiwa na mumewe lakini sasa amefikia hatua ya kunitamkia wazi wazi kuwa anataka nitoke naye. Nilimwambia siwezi kutoa ushauri wa maana kuhusu ndoa wakati mimi mwenyewe sijaingia huko, nikamshauri awatafute watu wazima wao watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi kiushauri kuliko mimi. Nimekuja hapa kuomba ushauri namna ya kumuepuka maana tupo ofisi zinazopakana hivyo kuonana huwa mara kwa mara.

Mke wa mtu noma hiyo asset uliyoitunza tangu uzaliwe itazibuliwa uwe KING'AST. Kaa chonjo
 
sasa unaomba ushauri wa nini?acha upuuz wa ktoto,yan unajua mke wa mtu sumu ila unakaa na kuandka ujinga wako.Ucjaribu sumu kwa kuilamba et huamin inaua.take care kijana inaonekana upeo wako mdogo sana mpaka unafkia kuomba ushaur ukitegemea watu watakusuport ili ufanye ujinga wako.
 
Mkuu; kwanza nashukuru kwa ushauri wako japo umetumia ukauli kuweka msisistizo. Pili, nimeomba ushauri si kutaka kuhalalisha kutoka na na mtu bali nilitaka kulitoa moyoni ili watu wanipe ushauri wa namna ya kumuepuka.
 
Ahsante mkuu kwa ushauri wako mzuri. Sina nia hata kidogo nataka nimuepuke nisiwe chanzo cha ndoa ya mtu kuyumba.[/QUOTE]

Usiwaze kuyumba kwa ndoa tuu (kwani tayari wana migogoro yao); fikiria pia mashamsham ya FUMANIZI pale mme mtu akikufuma......Usijekupoteza KIZAZI wakati nawewe umesema bado kijana hujaoa. TAFAKARI
 
ok! kama unaomba namna ya kuepuka basi tel her truth kuwa huitaji uhusiano anaotaka kwako na mshaur kuwa ndoa inahtaji uvumilivu kwakuwa ina karaha ndan yake.but jiepushe sana nae kwan wenzio tumeshuhudia fumaniz kibao.
 
Wadau, kuna dada mdogo hivi wa miaka 21 mke wa mtu ambaye hunisumbua akitaka kampani yangu hata kunitembelea weekend kwa kuwa mimi sijaoa. Mwanzoni alikuja kwangu kuomba ushauri juu ya manyanyaso anayofanyiwa na mumewe lakini sasa amefikia hatua ya kunitamkia wazi wazi kuwa anataka nitoke naye. Nilimwambia siwezi kutoa ushauri wa maana kuhusu ndoa wakati mimi mwenyewe sijaingia huko, nikamshauri awatafute watu wazima wao watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi kiushauri kuliko mimi. Nimekuja hapa kuomba ushauri namna ya kumuepuka maana tupo ofisi zinazopakana hivyo kuonana huwa mara kwa mara.

Hivi, haya mambo madogo madogo ambayo unaweza ku-solve wewe mwenyewe, ni lazima uyalete hapa JF?
Sometimes, a trivial matter kama hii, peleka kule FB!
Aidha ninawashangaa wale wote ambao wako busy mbele ya keyboards zao kutoa ushauri: Oh, Mwanangu acha ..., oh Zaburi .... oh kaa mbali naye ..., Oh nke wa ntu sumu ..., oh mpe laivu ... Bullshit!
 
Wadau, kuna dada mdogo hivi wa miaka 21 mke wa mtu ambaye hunisumbua akitaka kampani yangu hata kunitembelea weekend kwa kuwa mimi sijaoa. Mwanzoni alikuja kwangu kuomba ushauri juu ya manyanyaso anayofanyiwa na mumewe lakini sasa amefikia hatua ya kunitamkia wazi wazi kuwa anataka nitoke naye. Nilimwambia siwezi kutoa ushauri wa maana kuhusu ndoa wakati mimi mwenyewe sijaingia huko, nikamshauri awatafute watu wazima wao watakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi kiushauri kuliko mimi. Nimekuja hapa kuomba ushauri namna ya kumuepuka maana tupo ofisi zinazopakana hivyo kuonana huwa mara kwa mara.

Tafuta namba ya mume wake umwambie
 
Mbona sasa kila kitu ushasuluhisha mwenyewe mkuu!!Huyo dawa ni kukata mawasiliano yote nae..Badilisha mpaka line ya simu!!
 
Back
Top Bottom