Mke wa mtu ananitaka kimapenzi

Mke wa mtu ananitaka kimapenzi

Mbona sasa kila kitu ushasuluhisha mwenyewe mkuu!!Huyo dawa ni kukata mawasiliano yote nae..Badilisha mpaka line ya simu!!

Ahsante kwa ushauri wako mkuu. Kubadili namba yangu si rahisi nitapoteza hazina kubwa (network) ya watu. Pia ni vigumu kutoa maelezo kwa watu wangu karibu kama girlfriend and the family labda niswitch network which isn't worth doing. Kuhusu kukata mawasiliano ni kweli.
 
Mchukue rafiki yako yeyote wa kike mtambulishe kuwa huyo ndio demu wako..Hakusogelei tena..issue ndogo hiyo..
 
Ni bahati mbaya kwamba whatever matatizo aliyonayo naye nyumbani kwake...kitendo cha ww kuwa karibu naye ndio kuzidisha kabisa ukubwa wa tatizo lake. The worst part ni wewe kuwa sehemu ya tatizo badala ya suluhisho. Wadau wameshasema kuwa muepuke kama ukoma. Be a man look her in the eyes mwambie haitawezekana ni dharau kwake yeye kumwambia maneno hayo hali akijua ni mwanandoa.
 
Mla vya watu na vyake uliwa!! eleza wazi msimamo wako usiogope, alafu mwanamke anayeweza kumzunguka mme wake na kutoka nje ya ndoa ni hatari sana.
 
kwa matukio ambayo nimeshuhudia ya wale walio toka na wake za watu; hata siku moja sita thubutu kujaribu kutoka na mke wa mtu, hata kwa mazingira gani.

Ushauri - Kaa mbali nae huyo mwanamke.

na bado unahangaika na Mume wa mtu Dr.Slaa ...inaonekana somo hujalielewa vizuri Mama Hamida..
 
...hata kama hako kasichana ni kahuni, kamekutega kilaini ivo ndo hujielewi ?ngoja kakufanye mtaji wa kuzimu.kwanza inaoyesha we ndo unakasumbua katoto ka watu,utakaruhusu vipi kuja kwako wakati we hujaoa afu unachekacheka tu. Kama angekuwa mke wako ungekuja kuomba ushauri agegedwe..? st..upid boy..!acha wake za watu, nenda kaokote baa huko watu wa tabia yako utawakuta...
 
Mkuu nahisi umeshakula kinana kama 5 hivi, wapi nimesema nimemruhusu kuja nyumbani kwangu? Soma tena maandishi yangu.
 
mke wa mtu + miaka 21 + kalou = Amri ya 6 vipande vipande
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom