Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe kampani kwa sasa kwamba hata mumewe akifahamu hawezi kumlaumu kwa sababu nimefanana naye sana. Kiukweli naogopa make hata mie nina mke lakini siku zinavyokwenda nahisi nitashindwa kustahimili. Make twafanya kazi pamoja na ni mtu wa nyumbani ambaye kila mtu amezoea kutuona tukiwa pamoja. Hebu wanaume na wanawake wenye kuyajua mambo nishaurini niupukeje huu mtihani..walaaaah mgumu...
ushauri wako mzuri, unadhani inawezekana kumwambia moja kwa moja kwa na isilete usumbufu???
mkuu solution mbona rahisi ... mwambie sitaki wewe ni mke wa mtu! si nzuri kimaadili na pia zinaa imekatazwa ndani ya dini zetu! ukimkubali utakuwa msaliti wa wanaume wooote humu duniani.. kumbuka , ukichafua kitanda cha mtu.. na chako kitakuja kuchafuliwa siku moja ..
tc!
ushauri wako mzuri, unadhani inawezekana kumwambia moja kwa moja kwa na isilete usumbufu???
Jamani JF hebu nisaidieni,kuna mke wa mtu ananipenda, yaani kanitamkia mwenyewe kwamba nafanana na mumewe aliye masomoni nje ya nchi. Nilipomuuliza zaidi anataka nini akaniambia kwamba nimpe kampani kwa sasa kwamba hata mumewe akifahamu hawezi kumlaumu kwa sababu nimefanana naye sana. Kiukweli naogopa make hata mie nina mke lakini siku zinavyokwenda nahisi nitashindwa kustahimili. Make twafanya kazi pamoja na ni mtu wa nyumbani ambaye kila mtu amezoea kutuona tukiwa pamoja. Hebu wanaume na wanawake wenye kuyajua mambo nishaurini niupukeje huu mtihani..walaaaah mgumu...
Sugar hujambo best,tatizo huyu mama anajigongesha mwenyewe oooh umefanana na mume wangu,oooh hata akijuwa hatasema kitu,saa zingine uzalendo unakushinda unamsaidia mara moja tatizo mmoja wao au wote wanaweza kunogewa,hapo sasa.pumbatupu samahani lakini,issue kama hii inataka usaidiwe vipi kimawazo?wakati wewe mwenyewe tayari unalo jibu.unajua kama sivyo na haifai ila mpaka uulize humu?nakupa samani nyengine kama utakwazika